Kama unataka kujifunza hacking lazima utazame hizi movies

Kama unataka kujifunza hacking lazima utazame hizi movies

Zote feki tu, endeleeni kujidanganya, hacking kwenye movies wamejaribu kuzifanya kua kitu rahisi, kitu cha mwaka mzima wanakuonyesha ndani ya dakika tano unakaa unajidanganya. Real world hacking ni ngumu zaidi ya mnavyofikiria.
 
Mkuu cheki Kwa hawa jamaa mie nilijaribu ikakubali but yataka moyo
 
Mkuu cheki Kwa hawa jamaa mie nilijaribu ikakubali but yataka moyo

Sihitaji kuwacheki, nimeanza kutengeneza apps miaka 10 nyuma, najua vizuri kipi kinawezekana na kipi hakiwezekani.
Sina muda kukaa nafuatilia simu ya mpenzi wangu, kama anatoka nje afanye anavyotaka, labda ukijifunza kuchagua wanawake wenye heshima hutokaa huishi bila imani kiasi hicho.
 
4f2e56cfefaf08b5168e3a78115a5c5b.jpg

Habari Ndugu???

Hii ni kwa wale ambao wanapenda kujifunza hacking kama Hupendi Na Huhitaji hebu pita Mbali usiache uchawa hapa.

ZIFUATAZO NI TOP 10 YA MOVIES AMBAZO ZINAONYESHA SUALA ZIMA LA HACKING PROCESS... ZITAFTE LEO UJIONEE!!!!

MOVIES HIZO HIZI HAPA.

#1 Blackhat
#2 ALGORITHM: THE HACKER MOVIE (2014)
#3 SNOWDEN
#4 NERVE (2016)
#5 EAGLE EYE (2008)
#6 Trackdown (2000)
#7 THE FIFTH ESTATE
#8 HACKERS (1995)
#9 WAR GAMES (1983)
#10 Cybergeddon

Asanteni!!!
By Tzhacker 000
hapa sio kweli unatakiwa kujituma na kujifunza sana code
 
Back
Top Bottom