Kama unataka kujifunza hacking lazima utazame hizi movies

Nimeangalia tano kati ya hizo but nadhan ulipaswa kusema kama unataka kupanuka kimawazo as mwana it na sio as hacker mkuu
 
Naomba ndugu application ya kudukua sms za mtu bila ya yeye kujua .maana mahacker wengi huomba hela kwa hili
Unapenda vya bure angalia nawe usije tumika bure mkuu....


Learning ethical hacking or using the knowledge of ethical hacking is quiet costful.
 
Either way ulikimbia au ulisoma programming ,hacking ia something else mjomba
kiongoz hacking ni swala la kucheza na software program na program zooooote dunia hii zina be made by coding....ila kama unataka kua hacker kwa kutumia hacking tool software zilizo tengenezwana na complete hacker kama hizo mnazo tumiana sitaki kuzitaja zipo nyingi mno alafu kibaya kama hack tool hujatengeneza wewe hutajua jinsi ya kujilinda ili usikamatwe au usi hackiwe na wewe......ndomana nikasema be carefully kuna cyber crime......ni ushauri tuuuu......
 
Why hacking???
Inategemeana na hacker anataka kwa mfano white hacker's wale ambao hudukua taarifa kwa sababu za kiusalama na black hacker's ni wale ambao hudukua taarifa kwa ajili ya kupata kitu fulani ili kumdharirisha mhusika endapo atagoma kutoa chochote pia wakati mwingine mtu hufanya hacking kuridhisha nafsi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kweli mkuu siku zote hackers ni programer tena aliye iva upande wa code ambaye anajua kuingia kwenye system pia ulinzi wake...."one mistake one goal"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…