Kama unataka kujifunza hacking lazima utazame hizi movies

Vipi kuhusu gray hackers?
 
Hakun kitu hapo....
Hiyo eagles eye ina kipi cha kureflect hacking?
Hakuna kitu hapo maana hata vitu vingine walivyoonyesha mle havipo mfano ile techbology ya kile kindege.
Sijaona hacking mle.
 
Hakun kitu hapo....
Hiyo eagles eye ina kipi cha kureflect hacking?
Hakuna kitu hapo maana hata vitu vingine walivyoonyesha mle havipo mfano ile techbology ya kile kindege.
Sijaona hacking mle.
sawa
 
Wewe acha akili za kitoto. Movie ufanye maisha yako. Utaumia
 
Naomba ndugu application ya kudukua sms za mtu bila ya yeye kujua .maana mahacker wengi huomba hela kwa hili
Mobile phone tracker iko poa san inatrack each and everythng cha kufanya search google na cm ya muhusika download app then register as new user af ww utatumia kifaa chochot cheny ku access internet kulog in katka account uliyofungua kwa muhusika wko ndio utakutana na yoooot yanayojil...! Kwa mengneyo nichek
 
Mkuu kuna course inaitwa ethical hacker onafundishwa darasani. Si vema kutoa hitimispho kwa jambo usilolijua kiundani.

Japo najua utundu, ubishi na juhudi binafsi ukichanganya na akili za ziada hukufanya kuwa mdukuaji mahiri.


Mkuu naelewa kabisa kama kuna coz za Ethical Hacking lakini ukiangalia yeye alitaka kujua kama hacking inayofundishwa anataka aitumie kama professional yake au carrer.
Lakuongezea tumsaidie kama anapenda basi ajifunze programming ili aweze kufikia kile anachokitaka.
 
Boss simply hacking is not about the software is all about the coding part
Using Cain n able sijui takataka gani that's not hacking
Ukisoma kidogo ethical hacking utaelewa what hacking is exactly n how to defend
 
Nimekupata mkuu.
 
Boss simply hacking is not about the software is all about the coding part
Using Cain n able sijui takataka gani that's not hacking
Ukisoma kidogo ethical hacking utaelewa what hacking is exactly n how to defend
what is software by then? Ila mi nilitoa ushauri ila kama hujawah kukaa darasan ukajifunza haya maswala usije ukamuamini mtu ati ni simple.....tumieni hizo pdf za mtandaoni kafanye mpaka practice uone kama utafikia hata level ya huyo hacker unaye mjua wewe......hizo material mnazo soma zinasaidia kujua whole process of ethical hacking japo mara nyingi hawagusi Pentesting hii ni kwaajili ya maswala ya cyber security ila kama unataka kua CEH kasome coding maswala ya paithon, php, java, etc......nazungumza kitu nacho kifaham si bahatishi. .....
 
Duuu mkuu
Sawa
Am telling u bout ethical hacking an now u try to teach me duuu haya
 
Vilevile sio movie tu but hata ukicheza games kama vile watch dogs itakusaidia
Maana hadi unahack traffic lighs za barabarani kwenye hiyo game
Duu hii game naamu ya kuicheza ninaonaga cover zake tu na call of duty[emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Na Mimi nielekeze kudukua sms za mtu bila yeye kujua
 
MR.ROBOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…