Kama unataka kujifunza hacking lazima utazame hizi movies

Zote feki tu, endeleeni kujidanganya, hacking kwenye movies wamejaribu kuzifanya kua kitu rahisi, kitu cha mwaka mzima wanakuonyesha ndani ya dakika tano unakaa unajidanganya. Real world hacking ni ngumu zaidi ya mnavyofikiria.
 
Mkuu cheki Kwa hawa jamaa mie nilijaribu ikakubali but yataka moyo
 
Mkuu cheki Kwa hawa jamaa mie nilijaribu ikakubali but yataka moyo

Sihitaji kuwacheki, nimeanza kutengeneza apps miaka 10 nyuma, najua vizuri kipi kinawezekana na kipi hakiwezekani.
Sina muda kukaa nafuatilia simu ya mpenzi wangu, kama anatoka nje afanye anavyotaka, labda ukijifunza kuchagua wanawake wenye heshima hutokaa huishi bila imani kiasi hicho.
 
hapa sio kweli unatakiwa kujituma na kujifunza sana code
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…