Kama unataka kujua meli zinazoingia Bandarini Dar na Bandari shindani, angalia website hii

Kwahiyo huko zilikohamia zimekwenda kuingia kiujanjaujanja na kutolipa kodi?

Are we serious?

Hebu tuache UJINGA.
 
Meli za vibaka hazitakiwi tz waende kenya kwa mafisadi wenzao
 
Makusanyo yapi yameongezeka? KipindI cha JK licha ya wafanyakazi hewa wanafunzi hewa safari za njee matumizi makubwa hali haikuwa hivi pamoja na mskusanyo ya bil 700-900 leo makusanyo trilioni 1.135 hakuna wafanyakazi hewa hakuna safari za nje na seminars kwenye mashirika na serikali lakini tumeshindwa kujenga hata kakiwanda kamoja badala yake tunalazimisha mifuko ya jamii ndo ijenge kweli?
 
Unaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia

http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports
Hivi unafaidika na nini wewe unayejaribu kutetea kuporomoka kwa uchumi? kamati ya bunge imethibisha kwamba kuna tatizo kubwa bandarini na kuomba wanaomshauri Rais na serikali yake wamwambie ukweli sasa wewe unafikiri kuna mtu anaichukia serikali...hivi huamini kukosoa ni sehemu mojawapo ya kutakiana mema? kumkosoa mtu ni njia ya kumtakia mafanikio
 
Unajua kuna watu mnakera sana! Tarehe 2 mwezi huu mkurugenzi wa TPA amedai mapato yamepungua, wewe pimbi unadai mapato yameongezeka!
 
Hatujasema hatupati na hakuna aliesema hivyo, Ila kinachozungumzwa ni mizigo kupungua! Usibadilishe mada, huo ndio msingi wa hoja!!

Sababu ya kupungua ni chochoro kudhibitiwa, wanaenda huko kuliko na chochoro ----JPM
 

Shida ni moja
Yaani hata mnywa viroba sasahivi anajiona mjuaji !!
 
Suala la kufikirisha, je Beira, Mombasa na Durban, wao wanaruhusu wakwepa kodi? Mbona meli zipo pamoja na mdororo wa uchumi China
 
Unaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia

http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports
Huu ni uchocezi wa wazi ambao kiukweli; hauvumiliki! Tushasema, hakuna tatizo la mizigo bandari ya Dar es salaam halafu wewe unatuwekea link kuonesha meli zilizopo kwenye bandari za Tanzania ni 18 tu wakati watani zetu Kenya kuna meli 29 hivi sasa zinajimwaya mwaya!!! Una lengo gani wewe?! Hivi unafahamu athari za kuuambia umma kwamba ndugu zetu Wamakonde tuliowasaidia kumfurumusha Mreno nchini mwao hivi sasa wana meli 52 kwenye bandari zao mbalimbali nchini mwao?! Hivi we mwenyewe unaona ni uungwana kuujulisha umma kwamba Durban peke yake kuna meli zaidi ya 80 wakati sisi tunazo 18 tu?!

Listen, mjomba ng'ambo ya pili keshapewa "go ahead"! Watu wakizingua tu anabonyeza kitufe... dakika 5 nyingi, kitu pwani! Usitutafute cha rohoni wewe... yule jamaa hajaribiwi!!! Badala ya kuwa Kimla, utakua Kimliwa... watch out!!
 
Meli zilizokuwa zinaleta mizigo kiujanja ujanja ziko ngapi? Je kwa sasa meli hizo zinapeleka mizigo ya kiujanja ujanja Mombasa au msumbiji au South Africa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…