barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ila mapato yanaongezeka.Hatujasema hatupati na hakuna aliesema hivyo, Ila kinachozungumzwa ni mizigo kupungua! Usibadilishe mada, huo ndio msingi wa hoja!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mapato yanaongezeka.Hatujasema hatupati na hakuna aliesema hivyo, Ila kinachozungumzwa ni mizigo kupungua! Usibadilishe mada, huo ndio msingi wa hoja!!
Kama yameongezeka Kweli, basi ni sawa!Ila mapato yanaongezeka.
Kwahiyo huko zilikohamia zimekwenda kuingia kiujanjaujanja na kutolipa kodi?Kwa nini watu wanashindwa kuelewa ukweli mwepesi?
1. Meli zilzokuwa zinaleta mizingo ya kiujanjajanja na kukwepa kodi haziji tena bandari ya Dar. Zimehamia kwingine.
2. Kwa hiyo meli zinazokuja Dar zimepungua maana zimebaki zile tu za mizigo halali zisizokwepa kodi ya serikali.
3. Makusanyo ya kodi kwenye bandari ya Dar imeongezeka mara dufu.
4. Sasa tatizo ni lipi? Unataka tu mameli yajazane pale bandarini yakipiga dili sisi hatupati kitu, ndiyo ufurahi? Au sisi tunachotaka si ni pesa?
Umeangalia Beira na Maputo? Labla tupime hadi mwakani 1 jan tuangalie upepoTumeachwa mbali
Hivi unafaidika na nini wewe unayejaribu kutetea kuporomoka kwa uchumi? kamati ya bunge imethibisha kwamba kuna tatizo kubwa bandarini na kuomba wanaomshauri Rais na serikali yake wamwambie ukweli sasa wewe unafikiri kuna mtu anaichukia serikali...hivi huamini kukosoa ni sehemu mojawapo ya kutakiana mema? kumkosoa mtu ni njia ya kumtakia mafanikioUnaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia
http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports
Unajua kuna watu mnakera sana! Tarehe 2 mwezi huu mkurugenzi wa TPA amedai mapato yamepungua, wewe pimbi unadai mapato yameongezeka!Kwa nini watu wanashindwa kuelewa ukweli mwepesi?
1. Meli zilzokuwa zinaleta mizingo ya kiujanjajanja na kukwepa kodi haziji tena bandari ya Dar. Zimehamia kwingine.
2. Kwa hiyo meli zinazokuja Dar zimepungua maana zimebaki zile tu za mizigo halali zisizokwepa kodi ya serikali.
3. Makusanyo ya kodi kwenye bandari ya Dar imeongezeka mara dufu.
4. Sasa tatizo ni lipi? Unataka tu mameli yajazane pale bandarini yakipiga dili sisi hatupati kitu, ndiyo ufurahi? Au sisi tunachotaka si ni pesa?
Hatujasema hatupati na hakuna aliesema hivyo, Ila kinachozungumzwa ni mizigo kupungua! Usibadilishe mada, huo ndio msingi wa hoja!!
Kwa nini watu wanashindwa kuelewa ukweli mwepesi?
1. Meli zilzokuwa zinaleta mizingo ya kiujanjajanja na kukwepa kodi haziji tena bandari ya Dar. Zimehamia kwingine.
2. Kwa hiyo meli zinazokuja Dar zimepungua maana zimebaki zile tu za mizigo halali zisizokwepa kodi ya serikali.
3. Makusanyo ya kodi kwenye bandari ya Dar imeongezeka mara dufu.
4. Sasa tatizo ni lipi? Unataka tu mameli yajazane pale bandarini yakipiga dili sisi hatupati kitu, ndiyo ufurahi? Au sisi tunachotaka si ni pesa?
yupo katavikwanza Waziri mkuu wetu mbona simsikii, yupo wapi aende akashtukize pale!
Suala la kufikirisha, je Beira, Mombasa na Durban, wao wanaruhusu wakwepa kodi? Mbona meli zipo pamoja na mdororo wa uchumi ChinaKwa nini watu wanashindwa kuelewa ukweli mwepesi?
1. Meli zilzokuwa zinaleta mizingo ya kiujanjajanja na kukwepa kodi haziji tena bandari ya Dar. Zimehamia kwingine.
2. Kwa hiyo meli zinazokuja Dar zimepungua maana zimebaki zile tu za mizigo halali zisizokwepa kodi ya serikali.
3. Makusanyo ya kodi kwenye bandari ya Dar imeongezeka mara dufu.
4. Sasa tatizo ni lipi? Unataka tu mameli yajazane pale bandarini yakipiga dili sisi hatupati kitu, ndiyo ufurahi? Au sisi tunachotaka si ni pesa?
Huu ni uchocezi wa wazi ambao kiukweli; hauvumiliki! Tushasema, hakuna tatizo la mizigo bandari ya Dar es salaam halafu wewe unatuwekea link kuonesha meli zilizopo kwenye bandari za Tanzania ni 18 tu wakati watani zetu Kenya kuna meli 29 hivi sasa zinajimwaya mwaya!!! Una lengo gani wewe?! Hivi unafahamu athari za kuuambia umma kwamba ndugu zetu Wamakonde tuliowasaidia kumfurumusha Mreno nchini mwao hivi sasa wana meli 52 kwenye bandari zao mbalimbali nchini mwao?! Hivi we mwenyewe unaona ni uungwana kuujulisha umma kwamba Durban peke yake kuna meli zaidi ya 80 wakati sisi tunazo 18 tu?!Unaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia
http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports
Meli zilizokuwa zinaleta mizigo kiujanja ujanja ziko ngapi? Je kwa sasa meli hizo zinapeleka mizigo ya kiujanja ujanja Mombasa au msumbiji au South Africa?Kwa nini watu wanashindwa kuelewa ukweli mwepesi?
1. Meli zilzokuwa zinaleta mizingo ya kiujanjajanja na kukwepa kodi haziji tena bandari ya Dar. Zimehamia kwingine.
2. Kwa hiyo meli zinazokuja Dar zimepungua maana zimebaki zile tu za mizigo halali zisizokwepa kodi ya serikali.
3. Makusanyo ya kodi kwenye bandari ya Dar imeongezeka mara dufu.
4. Sasa tatizo ni lipi? Unataka tu mameli yajazane pale bandarini yakipiga dili sisi hatupati kitu, ndiyo ufurahi? Au sisi tunachotaka si ni pesa?
Beira 16, Durban 65, Maputo 15 expected arrival 22, Zenji 1, Mtwara 2, Mombasa 29Umeangalia Beira na Maputo? Labla tupime hadi mwakani 1 jan tuangalie upepo
Zimeshaenda mkuu, Kenya, South Africa na msumbiji wanapokea meli za vibaka.Meli za vibaka hazitakiwi tz waende kenya kwa mafisadi wenzao
Yanaongezeka kwa vitu gani? Wakitaka wasionekane makajanja hao TRA wawe wanatoa mchanganuoIla mapato yanaongezeka.