Kama unataka kujua meli zinazoingia Bandarini Dar na Bandari shindani, angalia website hii

Kama unataka kujua meli zinazoingia Bandarini Dar na Bandari shindani, angalia website hii

Kabla ya kudhibitiwa, Kenya walikuwa na wastani wa meli ngapi na sisi ngapi..? maana tunaongea tu.
Usije tumbo wazi bila kuelewa nilichokiandika mimi nimeongelea "mizigo" wewe unaleta habari za "meli" usikochangie mada ukiwa una njaa
 
Ilikujua hali halisi embu tupate wastani wa meli ngapi mwaka jana kipindi kama hiki tulikuwa nazo bandarini ili tuweze kucompare na sasa ilikujua meli zimepungua kwa kiasi gani tusije tukawa tunajifananisha na Mombasa na Beira wakati kabandari ketu ni kadogo ukicompare na bandari zao hivyo hata uwezo wa kuleta meli ukawa ni mdogo kwetu.
 
Usije tumbo wazi bila kuelewa nilichokiandika mimi nimeongelea "mizigo" wewe unaleta habari za "meli" usikochangie mada ukiwa una njaa
Hiyo mizigo inabebwa na masabuli yako? thread inahusu meli au mizigo? lugha chafu zimejaa tele ni utashi na utii wa sheria tu kuzitumia au kutokuzitumia.
 
Hiyo mizigo inabebwa na masabuli yako? thread inahusu meli au mizigo? lugha chafu zimejaa tele ni utashi na utii wa sheria tu kuzitumia au kutokuzitumia.
Naona dawa imekuingia ukiweweseka ndo dalili ya kupona..kwa akili zako meli zikionekana ndo mizigo inakuwa mingi? Ukiona boss wa bandari anakiri mizigo imepungua wewe ambae upo tumbo wazi sijui unabisha kitu gani.
 
Makusanyo yapi yameongezeka? KipindI cha JK licha ya wafanyakazi hewa wanafunzi hewa safari za njee matumizi makubwa hali haikuwa hivi pamoja na mskusanyo ya bil 700-900 leo makusanyo trilioni 1.135 hakuna wafanyakazi hewa hakuna safari za nje na seminars kwenye mashirika na serikali lakini tumeshindwa kujenga hata kakiwanda kamoja badala yake tunalazimisha mifuko ya jamii ndo ijenge kweli?
Bado mapema. Kumbuka pia madeni yaliongezeka sana kipindi hicho
 
Unajua kuna watu mnakera sana! Tarehe 2 mwezi huu mkurugenzi wa TPA amedai mapato yamepungua, wewe pimbi unadai mapato yameongezeka!
Tra kasema mizigo imepungua lkn mapato yameongezeka maradufu. Tena siyo 02.09.2016 bali ni 04.09.2016 sasa?
 
Unaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia

http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports
Hivi wewe na ile kamati ya viwanda, biashra na mazingira ya Bunge nani anaujua ukweli? Hii nchi bwana kila mmoja anajifanya kujua. Hoja sio Meli haziji tatizo mizigo kupungua. Unajua Meli hiyo hiyo inayotia nanga bandari ya Dar es Salaam ikishashusha container moja hapa kwetu inapita na kwenda Mombasa kushusha Container 200. Labda kama unataka kulinganisha leta takwimu za mizigo kati ya bandari jirani na yetu hapo tutakuelewa la sivyo una tapatapa
 
Kwa nini watu wanashindwa kuelewa ukweli mwepesi?
1. Meli zilzokuwa zinaleta mizingo ya kiujanjajanja na kukwepa kodi haziji tena bandari ya Dar. Zimehamia kwingine.

2. Kwa hiyo meli zinazokuja Dar zimepungua maana zimebaki zile tu za mizigo halali zisizokwepa kodi ya serikali.

3. Makusanyo ya kodi kwenye bandari ya Dar imeongezeka mara dufu.

4. Sasa tatizo ni lipi? Unataka tu mameli yajazane pale bandarini yakipiga dili sisi hatupati kitu, ndiyo ufurahi? Au sisi tunachotaka si ni pesa?
Pole
 
Ni kweli mkuu. Meli ikitoka itokako kama ni southbound inaanzia Mombasa then Dar then Beira then Maputo na most likely finally Durban. Na katika kila port of call inashusha na kupakia shehena. Sasa ukiona kwetu meli ni zinapungua kuliko kwingine obvious na shehena inashuka pia n mapato ya nchi lazima yaadhirike kwa kuwa bandari yetu ndi chanzo kikuu cha mapato.

Watu hapa wanamtetea Rais na maamuzi yake bila uelewa wa uchumi wa shehena.
 
Kwa nini watu wanashindwa kuelewa ukweli mwepesi?
1. Meli zilzokuwa zinaleta mizingo ya kiujanjajanja na kukwepa kodi haziji tena bandari ya Dar. Zimehamia kwingine.

2. Kwa hiyo meli zinazokuja Dar zimepungua maana zimebaki zile tu za mizigo halali zisizokwepa kodi ya serikali.

3. Makusanyo ya kodi kwenye bandari ya Dar imeongezeka mara dufu.

4. Sasa tatizo ni lipi? Unataka tu mameli yajazane pale bandarini yakipiga dili sisi hatupati kitu, ndiyo ufurahi? Au sisi tunachotaka si ni pesa?
Umesema vizuri sana hapo kwenye namba 4.
 
Tra kasema mizigo imepungua lkn mapato yameongezeka maradufu. Tena siyo 02.09.2016 bali ni 04.09.2016 sasa?
Acha uzembe, nimezungumzia taarifa ya TPA na sio TRA! Au hujui tofauti yake!
 
Unajua najiuliza maswali kila siku nani alikuwa Rais mzuri na mwenye kuwa makini kwa kila jambo...Sisemi JPM sio makini ila ni kweli JK,MKAPA,MWINYI walikuwa hivi....????
***Anyway Labda mwanzo mgumu**
 
Mkuu kusikia kwa Nyumbu mpaka dawa masikioni
 
Hatuna body ya logistics hapa nchini, so nivigumu bandari yetu kuendeshwa kitaalam zaid
 
Back
Top Bottom