Kama unataka kujua Mussa alikua katili kwa kiasi gani Bonyeza HESABU 31;17-18

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,980
Halafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka..

Waafrika tujitambue. Hizi dini za kigeni sio zetu. Ndio maana zimeshindwa kutoa majibu ya maswali yetu kama waafrika..

Turudi kwenye matambiko ya mababu kwa maana ndio asili yetu na ndio u kweli wetu

Kuona ukatili wa Mussa BONYEZA 👉Hesabu 31; 17-18
 
Porojo za wayahudi kujimwambafy .

Hizo dini zenu za Wazungu na Waarabu ni scam
 
Ukatili hauna cha utofauti wa nyakati.

Hizi dini ni systems za kigeni za kiutamaduni. Zimekuja kufuta asili yetu na kutufanya tuone tamaduni za watu wa Mashariki ya Kati ndio bora kuliko za kwetu. We have been brainwashed to worship other people's ancestors.
 
Umesoma neno lote na kulielewa?.

Ni hili hapa.

Kurejea toka Vitani
13Basi Musa, na Eleazari kuhani, na wakuu wote wa huo mkutano, wakatoka nje kwenda kuwalaki nje ya kambi. 14Musa akawakasirikia majemadari wa jeshi, na hao makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia, hao waliorudi kutoka kupigana vita. 15 Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai? 16 Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie BWANA dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hiyo pigo lilikuwa katika mkutano wa BWANA. 17 Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mwanamume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mwanamume kwa kulala pamoja naye. 18Lakini hao wasichana wote ambao hawakumjua mwanamume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu. 19 Nanyi fanyeni matuo yenu nje ya kambi muda wa siku saba, ninyi na mateka yenu".

Bila shaka umeona kuwa waliokuwa wanazungumziwa hapo ni mateka wa vita
 
Umesoma neno lote na kulielewa?.

Ni hili hapa.

Kurejea toka Vitani
13Basi Musa, na Eleazari kuhani, na wakuu wote wa huo mkutano, wakatoka nje kwenda kuwalaki nje ya kambi. 14Musa akawakasirikia majemadari wa jeshi, na hao makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia, hao waliorudi kutoka kupigana vita. 15 Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai? 16 Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie BWANA dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hiyo pigo lilikuwa katika mkutano wa BWANA. 17 Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mwanamume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mwanamume kwa kulala pamoja naye. 18Lakini hao wasichana wote ambao hawakumjua mwanamume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu. 19 Nanyi fanyeni matuo yenu nje ya kambi muda wa siku saba, ninyi na matela yenu".

Bila shaka umeona kuwa waliokuwa wanazungumziwa hapo ni mateka wa vita
Mussa alikuwa muuaji period
 
Ukatili hauna cha utofauti wa nyakati.

Hizi dini ni systems za kigeni za kiutamaduni. Zimekuja kufuta asili yetu na kutufanya tuone tamaduni za watu wa Mashariki ya Kati ndio bora kuliko za kwetu. We have been brainwashed to worship other people's ancestors.
Fact..

Mimi siachi kuwaheshimu mabibi na mababu zangu
 
Binadamu wakivifuata vitabu vya Biblia au Quran neno kwa neno kama vilivyo Dunia ingekuwa uwanja fujo na vita, ni bahati nzuri kwamba binadamu wengi wa sasa ni rational vya kutosha ila kuweza kudumisha amani na kuepusha machafuko kwa hiyo maandiko ya vitabu vyao yenye kuweza kuleta violence wanayapuuza.
 
Tofauti yao na Babu yako

Wao wameweza kuelezea mpaka udhaifu wao

Wewe babu yako alipotoa kafara wanae kupata ng'ombe wengi na wake imeandikwa wapi.?
 
Halafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka..

Waafrika tujitambue. Hizi dini za kigeni sio zetu. Ndio maana zimeshindwa kutoa majibu ya maswali yetu kama waafrika..

Turudi kwenye matambiko ya mababu kwa maana ndio asili yetu na ndio u kweli wetu

Kuona ukatili wa Mussa BONYEZA 👉Hesabu 31; 17-18
Hiyo ilikuwa wakati wa vita
 
Binadamu wakivifuata vitabu vya Biblia au Quran neno kwa neno kama vilivyo Dunia ingekuwa uwanja fujo na vita, ni bahati nzuri kwamba binadamu wengi wa sasa ni rational vya kutosha ila kuweza kudumisha amani na kuepusha machafuko kwa hiyo maandiko ya vitabu vyao yenye kuweza kuleta violence wanayapuuza.
Fact
 
Tofauti yao na Babu yako

Wao wameweza kuelezea mpaka udhaifu wao

Wewe babu yako alipotoa kafara wanae kupata ng'ombe wengi na wake imeandikwa wapi.?
Soma kwa sauti ulicho kiandika jirekodi halafu jisikilize
 
Back
Top Bottom