Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Porojo za wayahudi kujimwambafy .Halafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka..
Waafrika tujitambue. Hizi dini za kigeni sio zetu. Ndio maana zimeshindwa kutoa majibu ya maswali yetu kama waafrika..
Turudi kwenye matambiko ya mababu kwa maana ndio asili yetu na ndio u kweli wetu
Kuona ukatili wa Mussa BONYEZA ๐Hesabu 31; 17-18
Fact.. Sasa hivi karibu waafrika wote wanajitambuaTaratibu tutaanza kuongea lugha moja na Afrika itaamka kutoka usingizini
Mussa alikuwa muuaji periodUmesoma neno lote na kulielewa?.
Ni hili hapa.
Kurejea toka Vitani
13Basi Musa, na Eleazari kuhani, na wakuu wote wa huo mkutano, wakatoka nje kwenda kuwalaki nje ya kambi. 14Musa akawakasirikia majemadari wa jeshi, na hao makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia, hao waliorudi kutoka kupigana vita. 15 Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai? 16 Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie BWANA dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hiyo pigo lilikuwa katika mkutano wa BWANA. 17 Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mwanamume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mwanamume kwa kulala pamoja naye. 18Lakini hao wasichana wote ambao hawakumjua mwanamume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu. 19 Nanyi fanyeni matuo yenu nje ya kambi muda wa siku saba, ninyi na matela yenu".
Bila shaka umeona kuwa waliokuwa wanazungumziwa hapo ni mateka wa vita
Fact..Ukatili hauna cha utofauti wa nyakati.
Hizi dini ni systems za kigeni za kiutamaduni. Zimekuja kufuta asili yetu na kutufanya tuone tamaduni za watu wa Mashariki ya Kati ndio bora kuliko za kwetu. We have been brainwashed to worship other people's ancestors.
FactPorojo za wayahudi kujimwambafy .
Hizo dini zenu za Wazungu na Waarabu ni scam
Ni kweli.Mussa alikuwa muuaji period
Hiyo ilikuwa wakati wa vitaHalafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka..
Waafrika tujitambue. Hizi dini za kigeni sio zetu. Ndio maana zimeshindwa kutoa majibu ya maswali yetu kama waafrika..
Turudi kwenye matambiko ya mababu kwa maana ndio asili yetu na ndio u kweli wetu
Kuona ukatili wa Mussa BONYEZA ๐Hesabu 31; 17-18
FactBinadamu wakivifuata vitabu vya Biblia au Quran neno kwa neno kama vilivyo Dunia ingekuwa uwanja fujo na vita, ni bahati nzuri kwamba binadamu wengi wa sasa ni rational vya kutosha ila kuweza kudumisha amani na kuepusha machafuko kwa hiyo maandiko ya vitabu vyao yenye kuweza kuleta violence wanayapuuza.
Kwanini alisema mabinti bikira wasiuwawe?Hiyo ilikuwa wakati wa vita
Soma kwa sauti ulicho kiandika jirekodi halafu jisikilizeTofauti yao na Babu yako
Wao wameweza kuelezea mpaka udhaifu wao
Wewe babu yako alipotoa kafara wanae kupata ng'ombe wengi na wake imeandikwa wapi.?
Two wrongs doesn't make it rightNi kweli.
Ila ungemalizia kuweka na kusoma aya nzima ili uielewe.
Mtume Mohamad aliua watu maelfu kwa maelfu.
Ndiyo kinachofanyika hadi leoKwanini alisema mabinti bikira wasiuwawe?
Nabii wa Mungu anapiganaje Vita wakati watu anao waua ni viumbe wa Mungu anae mtumikia?