Kama unataka kujua Mussa alikua katili kwa kiasi gani Bonyeza HESABU 31;17-18

Kwanini alisema mabinti bikira wasiuwawe?

Nabii wa Mungu anapiganaje Vita wakati watu anao waua ni viumbe wa Mungu anae mtumikia?
Zaman Bikira ilikuwa na thaman sana. Na kuoa ilibidi uoe bikra. Mabinti Bikira walibakishwa ili waolewe na kuendeleza Jamii.

Sasa ulitaka vita ipigane na Viumbe vya nani 😊😊😊😊

Vita ni vita Mura
 
Unasema Musa Sauli je? Ambae alikatakata watu waliokua wafuasi wa Mungu ambae akaja kuwa mtume Paul shida lakini Mungu alimtumia vizuri tu,swala hapa ni ufahamu ni kutosoma neno la Mungu vizuri, na kuweka tafsiri zako pasipo ongozwa na roho wa Bwana unajisomea tu,jifunze jambo kwa manufaa ya kuelewaa na sio kupinga vitu usivyovijua
 
Two wrongs doesn't make it right
Nikukumbushe Habari za Chifu Mkwawa, Mangi Sina na utawala wa Unyanyembe.
Kabla ya wakoloni kuja.

Walipigana vita na makabila jiran. Na vifo vilitokea vingi tu.

Nikukumbushe pia kuna Jadi kuwa Chifu akifa . Basi anazikwa na watu wawili walio hai.
 
Turudi kwenye matambiko ya mababu kwa maana ndio asili yetu na ndio u kweli wetu
... matambiko unayajua au unayasikia? Vijana kuchinjwa live kuomba mvua kwa mizimu? Watoto kuzikwa wakiwa hai pamoja na watemi wafu? Matambiko achana nayo kabisa.
 
... matambiko unayajua au unayasikia? Vijana kuchinjwa live kuomba mvua kwa mizimu? Watoto kuzikwa wakiwa hai pamoja na watemi wafu? Matambiko achana nayo kabisa.
Hayo umesikia wapi kama sio story za abunuwasi kutisha watu na. Kudemonize dini za kiafrika
 
MATAMBIKO NI MAMBO MENGNE KABISA.KABILA LETU WATOTO MAPACHA WALIKUWA WANAUAWA.DINI NDYO ILIYOZUIA.BINTI AKIPATA MIMBA ANAFUKUZWA NYUMBANI AKALIWE NA WANYAMA WAKALI HUKO
 
Wamasai walikuwa na desturi ya kutuvamia na kuchukua mifugo na kuwaua vijana wote wa kiume
 
Musa alifundishwa elimu maalumu za kijeshi katika Misri akiwa kama mtoto wa Farao ulitaka awe fala fala tu ukizingua ? Siyo ukatili ni kawaida sana kwa mtu aliyetaaluma hiyo.
 
Kipind hicho hapo Mungu hajamzaa mwanae Yesu kuja kuleta upendo, sjui ndo mkewe alikua hana kizaz?

Uislam hakuna unafik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…