Tunamlaumu nani ambae yupo madarakani tangu nchi ya Tanganyika ipate Uhuru?Kuna mzee mmoja alinyimwa kifaa cha kupumulia kisa pesa ya kulipia hana,tumezika jana.
Wodi ya nini hio Wajawazito?Mfano MZRH wodi na 13 pale ni chap.
Nope, ya wanaume. Mgonjwa akiingia kutoka salama ni mara chache sana pale. Mgonjwa akiwa anazingua dawa aidha afinywe au wahudu wazire kumpa dawa. Kama unapesa ni bora umpeleke private ward tu.Wodi ya nini hio Wajawazito?
Wodi ya Wazee?Nope, ya wanaume. Mgonjwa akiingia kutoka salama ni mara chache sana pale. Mgonjwa akiwa anazingua dawa aidha afinywe au wahudu wazire kumpa dawa. Kama unapesa ni bora umpeleke private ward tu.
NdioWodi ya Wazee?