Kama unataka kuoa single maza pitia hapa

Palipo na wazee ...
 
Mzee wa Kupambania anaonekana anauzoefu wa kutosha,
Huenda labda na yeye ni single maza tusimpinge.
 
Kuna kazi kwakweli ya kutuliza moyo, kwanza akiondoka tu nyumbani zaidi ya saa moja tayari wasiwasi, mda wote unahisi tu unagongewa na baba mtoto
 
But fine I will take your comment as a challenge though my decision remain the same
A single mother with a baby girl no problem In my perspective
After whoring around in her prime, after becoming a baby mama and losing value in the dating market

A finished man like you willing to save them off the streets after being a bed to bed midfielder in their prime

Foolish man with misplaced priority
 
After aborting all around a damn dumb man like you will pick up that flat tummy girl and consider him a lucky ass man
 
Mimi hapa kwetu wapo wawili mmoja naishi naye,wakati anatoka kwa mme wake anadai ile familia ni wachawi.
Nimekaa naye miezi mitano ila jamani kuna wanawake nyie.Mungu si athumani naona kuna kijana analeta posa mwezi july nami nimesema karibu sana kijana.Mwezi july naozesha jamani.
 
Kuna member hapo juu kasema vizuri sana. Kila mtu ashike analoona litamfaa. Oa yeyote. bikra, single mumy, ajuza au hata kuacha, acha tu.

Familia moja kijana alitangaza kuoa single mumy. Mama mzazi nusuru azimie kwa kilio kupinga kijana wake kuoa single mother. Kijana akisimamia msimamo wake na alioa.

Baadhi ya ndugu walimtenga kijana kiaina. Wazazi wa kijana hawakuwa na upendo kwa mke wa kijana wao. Waliishi nae basi tu ashaolewa na mtoto wao.

Kijana wa pili alitangza kuoa binti ambaye alianzisha yeye binti akiwa sekondari. Sifa zikawa sifa kwa kijana kuleta chombo kipya. Akapendwa kijana na mkewe. Wakafanywa kuwa watoto wenye hekima na ndoa ya mfano.

Siku hazikuganda. Kaka na mkewe waliokuwa hawaishi pale kijijini walijaliwa kupata mtoto. Lakini hakuthaminiwa sana. Lakini hakujali, walimlea mtoto wao pamoja na yule wa kufikia kwa upendo wote. Maisha yao yakawa ya amani ndani na nje. Heshima na upendo kati yao vikawa nyota angavu..

Kwa upande wa mdogo, baada ya muda kukawa mushkeli kidogo. Baada ya kupata mtoto wa kwanza vizuri, mke alianzisha mchezo mchafu. Mara alibeba mimba nje ya ndoa. Akaona ataumbuka. Akaamua kuitoa mimba. Mambo yalipokuwa magumu, alipelekwa hospitali. Kama kawaida ya manesi, walimbana aseme ukweli. Akasema katoa mimba na sababu ni kuwa haikuwa ya mumewe. Ile ndoa kwa sasa kauli ya mwisho bila kujali ubora, msemaji ni mke. Kijana kawa poyoyo kiasi kwamba mke alale asilale nyumbani, mume haruhusiwi kuhoji.

Naunga mkono jamaa aliyesema kila mmoja afanye analoona linafaa. Ukipata chema asante Mungu, ukipata koroma bahati mbaya.

Jioni njema member wote.
 
After aborting all around a damn dumb man like you will pick up that flat tummy girl and consider him a lucky ass man
Imagine referring to another man's baby mama, as your soul mate. Pussy truly is a dangerous drug!

Baby mamas are for losers. No man with any self respect would commit to a baby mama. It never goes beyond sex, of which the sex isn't even encouraged

No normal man has ever woken up at 6am and said I’ve always dreamt of being a step dad. Never!
 
masikini walifanya makosa wakiwa bado hawajajitambua huko mashuleni na vyuoni. Na leo hii wanabebeshhwa mzigo wa kudumu wa umalaya. Je, waliowazalisha na kuwatelekeza je? Jamii ya ajabu sana hii wallahi
Mpaka afike chuoni hajajitambua kweli au sekondari?

Single maza ni mwanamke mjinga sana:

●KWANZA, alikubali kutiwa mimba na mwanaume ambaye sio mume wake

●PILI, ujinga mwingine wa single maza ni kumchagua irresponsible man (mwanaume ambaye hayuko tayari kutimiza majukumu yake) amtie mimba

Nani wa kulaumiwa kama hakubakwa?
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…