Kama unataka kuoa single maza pitia hapa

Why you hate them is what bothering my mind right now!
 
Why you hate them is what bothering my mind right now!
Not only me bro

The world is harsh to single moms as well

Which is why every woman must be very strict about the kind of man she lets in between her legs

Having a child is like a felony, it'll stick with single mother forever
 
Ninastori inayofanana na hii.
Jamaa aliopoa single maza wake fresh nyumban wakamzingua ikabidi atafute mwingine asiyezaa, kajakupata kimeo hiko ni mzembe kila idara. Ana mambo mengi ila kubwa zaidi kumpelekesha mumewe like yeye ndio kichwa mumewe kama zoba, kijana amepungua hadi mwili kwa mateso.
Ifike hatua hawa vijana wanaopinga waachwe cha mtema kuni kiwapate wajithibitishie wenyewe(na watapigwa mapigo ya kigaidi)
 
Tusiwahukumu singo mama Kila mmoja anasaba zake tofauti za kuwa singo mama, Ebu tuwaheshimu natuwaoe
ila Kabla huja mwoa chunguza mahusiano yake na huyo baba moto wake na sababu za yeye kuwa singo maza
Angalizo wengi wao bado wana mahusiano na baba watoto wao kwa misingi kwamba analea moto wake hapo ndipo matatizo kwa mahusiano mapya yanapoaanza na kusababisha wanaume kuogopa kuwaoa singo maza.
Hivyo basi suluhusho mototo aplekwe Kwa baba yake au bibi yake ili asihusike na familia yako lakini pia inategemeana na msimamo wa mwanamme wengine wako tayari kulea watoto wa wenzao mradi tu heshima iwepo na uaminifu
 
Tofauti ya single maza na mwanamke asiyezaa ni kuwa,
Single maza anauzoefu wa kutendwa na kuachwa hivyo anaheshimu na kutukuza ndoa kwa bidii zote tofauti na upande mwingine..
Baadhi ya ambao waliepuka kuwa single mothers, ni watoa mimba wazoefu
 
Yamesemwa mengi Tena kwa mifano na ushuhuda nichelee tu kusema wa kuelewa ameelewa ,asiye elewa ataelewa huko huko ndoani na single mama.Single mother ni zaidi ya koboko.
 
Usijifanye mjuaji na kuanza kutetea vihoja vyako.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, wewe sikiliza na kufanyia kazi utakacho ambiwa.

ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA MGUU.

Single maza inabidi waje na uzi wa kujitetea.
 
Usijifanye mjuaji na kuanza kutetea vihoja vyako.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, wewe sikiliza na kufanyia kazi utakacho ambiwa.

ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA MGUU.

Single maza inabidi waje na uzi wa kujitetea.
Mkuu wapi nimetetea single maza.. unadhani huko nilikomtuma huyu ndugu hao jamaa watakubaliana nae aoe mke wa mtu?
 
Mkuu wapi nimetetea single maza.. unadhani huko nilikomtuma huyu ndugu hao jamaa watakubaliana nae aoe mke wa mtu?
Kijana nadhani hujaelewa nilicho andika.
Sijasema kuwa umetetea single maza.
Nimeweka msisitizo tu,

Nimetumia maneno yako haya...

"Wasikilize kwa makini ,usilete ujuaji wala kutetea hoja na majibu watakayokupa hakikisha unayafanyia kazi kisawasawa. Maana sisi huku Jf tumesema sana hamtaki kusikia"
 
I
Itakua ni hizi pombe za asubuhi asubuhi zina nipelekesha. Pamoja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…