Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
AminaSawa bilionea mtarajiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaSawa bilionea mtarajiwa
Congrats best comment ever.Na sisi tunasema 2025 malengo sio kuolewa na bilionea, malengo ni kuwa milionea kisha bilionea kwa utashi wetu wenyewe.
Kuolewa kubaki kuwa ni kwa mapenzi tu.
Nani huyo anachajisha elfu 10?Billionaire unachajisha Buku teni teni huko whatsapp kweli njaa kali
Boring commentCongrats best comment ever.
Tajiri anakojoa pazuriTajiri ana uwanja mkubwa wa kuchagua mwanamke yeyote anaemtaka, Kwetu waafrika kwakuwa ugonjwa wetu ni weupe wa ngozi, Mtumishi nae kadumisha mila 😂😂
Matajiri wazungu hawaangalii sana urembo wanaangalia akili, unyenyekevu, tabia, n.k. Huyu ni mke wa Mark Zuckbereg, Tajiri namba nne duniani mmiliki wa facebook, whatsapp, Instagram.
View attachment 3193343
I respect ur perspective...Boring comment
HahahahhahahhahahBillionaire unachajisha Buku teni teni huko whatsapp kweli njaa kali
Wapi?Tajiri anakojoa pazuri
Sura anayo ila kule nyuma sijui kama kupoKumbe mke wa Mwamposa ni kisu hivi.
Akili za mtu mweusiMwaka 2025 usikae kihasara
Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia
Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE?
Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela
We zubaa hapo, shauriako
Darasa la Feminine liko whatsapp njoo usome weee
View attachment 3193114
Kuko verySura anayo ila kule nyuma sijui kama kupo
Inasoma B3Billionea umepata shingapi hadi sasa hivi
Eh?Sura anayo ila kule nyuma sijui kama kupo
Za kwako mpaka leo unailalamikia serikaliAkili za mtu mweusi
Very Demure au mindfull?Kuko very
DemureVery Demure au mindfull?
Anatafuna bigijii kama akina Paula? Uhuni mjini, hamna kitu hapoMwaka 2025 usikae kihasara
Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia
Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE?
Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela
We zubaa hapo, shauriako
Darasa la Feminine liko whatsapp njoo usome weee
View attachment 3193114
WaibiehaohaooAah wapi…. Connection ndo muhimu zaidi, we wadanganye wadada wa watu!