Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Habari

Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa.

Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira.

Experience yangu hii nitaielezea kwa kuigawa katika makundi matatu, approach yako unayoingia nayo mtaani baada ya kutoka chuo itadetermine kundi moja wapo kati ya hayo

1. Kundi hili la kwanza ni la watu ambao wakitoka chuoni wanapata ajira moja kwa moja, kiuhalisia watu wachache sana wanabahatika kuingia katika kundi hili na mara nyingi ni wale best students katika chuo fulani au wale watu wenye connection either ya wazazi au ndugu.

2.Kundi la pili ni wale wenzangu na mimi katika kundi hili mostly kuna kuwaga na watu wa aina mbili kuna wale ambao hawajapata kazi lakini hawachoki kutafuta kazi lakini pia kuna wale ambao unakuta baada ya kumaliza chuo mtu anajihusisha na biashara.

Ushauri wangu kwa wahitimu ni kujikita katika kutafuta ajira kwa almost 70% alafu asilimia zilizobaki fanya biashara kama una lengo la ajira.

wahitimu wengi wanaojiingiza katika biashara wanakosaga ile concentration ya utafutaji ajira hivyo hupelekea mtu kukaa mtaani miaka mingi na ningependa kukukumbusha kuwa unavyozidi kukaa mtaani ndio unaongeza chance ya wewe kukosa ajira maana vigezo kama umri vinakutupa mkono.
 
Back
Top Bottom