6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
Kwanza natanguliza salam kwenu ndugu zangu wa JF wote.
Sasa bila kupoteza muda ndugu zangu, hayo chini ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya, katu moyo wako hautapata maumivu ya aina yoyote katika hii dunia japo kuna changamoto ndogo ndogo za hapa na pale ambazo zitakupitia, lakini kwa muda mfupi changamoto hizo zitatoweka na moyo wako utarudi katika furaha yake ya siku zote. Mambo yenyewe ni hayo hapo chini japo unaweza kuongeza na wewe ya kwako.
1) Katika maisha yako yote ifanye sala au swala (ibada) kuwa ni kitu muhimu zaidi katika maisha yako kuliko kitu chochote hapa duniani.
2) Kuwa mshabiki wa club bora ya muda wote hapa Tanzania, hapa namaanisha uwe shabiki wa Yanga. Ukiwa mshabiki wa Yanga kamwe hautokuja kuumia umia hovyo kama waumiavyo mara kwa mara mashabiki wa club zingine za Simba, Azam nk.
Japo sometimes hutokea vichangamoto changamoto kama nilivyosema hapo juu, ila vitapita tu na furaha yako kupitia club ya Yanga itaendelea kama kawaida. Ndugu zangu uzi wa club bora mmeuona?
Achana na wale wanaookota vitambaa na kuonganisha onganisha ili wapate jezi za kuchezea 😂😂😂. I'm just kidding my brothers and sisters, ila ukweli ndio huo nilioandika juu, mengine ongezeni nyie wakuu.