Kama unataka mbegu za mazao bora ununue mbegu za Zambia na Kenya,Tanzania hii imejaa watu matapeli na Serikali haijali.

Kama unataka mbegu za mazao bora ununue mbegu za Zambia na Kenya,Tanzania hii imejaa watu matapeli na Serikali haijali.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Sijawahi elewa kiukweli Kwa nini hii Nchi imejaa watu Matapeli na Serikali Haijali kabisa.eg tunawapa wakulima mbegu za mahindi feki, Pamba feki harafu hakuna anaefidia hizo hasara Kwa mkulima.

Unajiuliza hivi Kuna Serikali kweli ? Au kazi ya Serikali Huwa ni nini hasa kama haiwezi kujali watu wake?

Aisee Kwa haya mambo,unaweza mkumbuka Magufuli.

Bahati mbaya utapeli huu wa Watanzania uko sekta zote si hospital Wala kwenye chanjo za mifugo.

Nilichojifunza hapa Tanzania jipambanie mwenyewe usitegemee Serikali Wala programu zake ,nyingi ni utapeli.

Kama unataka kununua mbegu hasa za mahindi nenda Kenya,Zambia, Zimbabwe na South Africa.
 
Sijawahi elewa kiukweli Kwa nini hii Nchi imejaa watu Matapeli na Serikali Haijali kabisa.eg tunawapa wakulima mbegu za Pamba feki harafu hakuna anaefidia hizo hasara Kwa mkulima.

Unajiuliza hivi Kuna Serikali kweli ? Au kazi ya Serikali Huwa ni nini hasa kama haiwezi kujali watu wake?

Aisee Kwa haya mambo,unaweza mkumbuka Magufuli.

Bahati mbaya utapeli huu wa Watanzania uko sekta zote si hospital Wala kwenye chanjo za mifugo.

Nilichojifunza hapa Tanzania jipambanie mwenyewe usitegemee Serikali Wala programu zake ,nyingi ni utapeli.
Sasa umeanza kuelewa
 
nafikiri ni uzushi na kutokupenda vya ndani hii iko kote ulimwenguni hasa kwa nchi dunia ya tatu..., majirani uliwataja hapo wanapenda vyakwetu ndugu na wanavisifu kama wewe unavyosifu vyakwao
 
nafikiri ni uzushi na kutokupenda vya ndani hii iko kote ulimwenguni majirani uliwataja hapo wanapenda vyakwetu ndugu
Sijawahi ona bidhaa feki kutoka Zambia au Kenya imekuja Tanzania na nimemtumia.

In fact Kwa huku mipakani tukiko tunatumia zaidi bidhaa za Nchi jirani.

Kuna tofauti ya msingi wa jamii
 
Hata ingekuwa Serikali ya chama Cha Malaika.Kwa asili Watanzania sio watu waadilifu ni matapeli na wabinafsi so ni mtu mjinga tuu ndio ataacha kutafuta alternative yake badala yake unasubiria chama.
Wanaosimamia quality ya mbolea na wenye dola ya kutoa fine na adhabu kali kwa walanguzi wa mbolea wanafanya kazi gani na boss wao ni nani ????

Huwezi kuitenganisha CCM na uozo wowote wa nchi hii.
 
Wanaosimamia quality ya mbolea na wenye dola ya kutoa fine na adhabu kali kwa walanguzi wa mbolea wanafanya kazi gani na boss wao ni nani ????

Huwezi kuitenganisha CCM na uozo wowote wa nchi hii.
Ndio hawafanyia kazi zao Kwa sababu hizo kazi zinahitaji uadilifu lakini Kama nilivyosema Nchi hii Haina hao watu badala yake wote ni wabinafsi wanaojijali
 
Mkuu hio ni kweli kwa upande wa mbegu zambia wpo vizuri ukilinganisha na hawa wabongoman matapeli
Huku kwetu kitendo Cha kuwafurusha Wazungu kwenye plantation kimeharibh Kila kitu.

Mtu Ukiwa na uwezo kafuate mbegu South Africa,Zimbabwe,Kenya na Zambia.
 
Nakuunga mkono nilipewa mbegu za mahindi kutoka Kenya na mchaga mmoja yeye anunua Kenya asee ni nzuri sana.

Hapa Tz Kila kitu kiko kimagumashi ukienda kwenye chanjo sasa ndo hamna kabisa unachanja kuku wako ugonjwa ukija ni unafyeka wote
chanjo gani?
 
Kuna mshenzi mmoja huku... Analoweka mahindi kwenye rangirangi anauzia wakulima...ila Kwa kuwa ni kada alikamatwa akaachiwa yaani ana store kubwa kabisa kajaza gunia nyingi mno za kuwapiga wakulima..
 
Nchi ya kitapelitapeli sana tz,wengi ni matapeli kuanzia serikalini,vyama vyote,yaani siasa,manabii feki,bariki sijui Nini,tiba mbadala,deci,upatu,vikoba,utapeli kila Kona ukichaganya na uchawa nchi imekwishaa,hoi.
 
Wanaofanya uhuni wote; kote wanafungamana na CCM .
Ukiwa kada uko juu ya sheria karibia zote za kiraia
 
Back
Top Bottom