ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sijawahi elewa kiukweli Kwa nini hii Nchi imejaa watu Matapeli na Serikali Haijali kabisa.eg tunawapa wakulima mbegu za mahindi feki, Pamba feki harafu hakuna anaefidia hizo hasara Kwa mkulima.
Unajiuliza hivi Kuna Serikali kweli ? Au kazi ya Serikali Huwa ni nini hasa kama haiwezi kujali watu wake?
Aisee Kwa haya mambo,unaweza mkumbuka Magufuli.
Bahati mbaya utapeli huu wa Watanzania uko sekta zote si hospital Wala kwenye chanjo za mifugo.
Nilichojifunza hapa Tanzania jipambanie mwenyewe usitegemee Serikali Wala programu zake ,nyingi ni utapeli.
Kama unataka kununua mbegu hasa za mahindi nenda Kenya,Zambia, Zimbabwe na South Africa.