ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sasa umeanza kuelewaSijawahi elewa kiukweli Kwa nini hii Nchi imejaa watu Matapeli na Serikali Haijali kabisa.eg tunawapa wakulima mbegu za Pamba feki harafu hakuna anaefidia hizo hasara Kwa mkulima.
Unajiuliza hivi Kuna Serikali kweli ? Au kazi ya Serikali Huwa ni nini hasa kama haiwezi kujali watu wake?
Aisee Kwa haya mambo,unaweza mkumbuka Magufuli.
Bahati mbaya utapeli huu wa Watanzania uko sekta zote si hospital Wala kwenye chanjo za mifugo.
Nilichojifunza hapa Tanzania jipambanie mwenyewe usitegemee Serikali Wala programu zake ,nyingi ni utapeli.
Hata ingekuwa Serikali ya chama Cha Malaika.Kwa asili Watanzania sio watu waadilifu ni matapeli na wabinafsi so ni mtu mjinga tuu ndio ataacha kutafuta alternative yake badala yake unasubiria chama.Serikali ya chama gani?
Naelewa siku nyingi sana kwamba usipojipigania mwenyewe na kusubiria kupiganiwa utafeli sanaSasa umeanza kuelewa
Sijawahi ona bidhaa feki kutoka Zambia au Kenya imekuja Tanzania na nimemtumia.nafikiri ni uzushi na kutokupenda vya ndani hii iko kote ulimwenguni majirani uliwataja hapo wanapenda vyakwetu ndugu
Wanaosimamia quality ya mbolea na wenye dola ya kutoa fine na adhabu kali kwa walanguzi wa mbolea wanafanya kazi gani na boss wao ni nani ????Hata ingekuwa Serikali ya chama Cha Malaika.Kwa asili Watanzania sio watu waadilifu ni matapeli na wabinafsi so ni mtu mjinga tuu ndio ataacha kutafuta alternative yake badala yake unasubiria chama.
Ndio hawafanyia kazi zao Kwa sababu hizo kazi zinahitaji uadilifu lakini Kama nilivyosema Nchi hii Haina hao watu badala yake wote ni wabinafsi wanaojijaliWanaosimamia quality ya mbolea na wenye dola ya kutoa fine na adhabu kali kwa walanguzi wa mbolea wanafanya kazi gani na boss wao ni nani ????
Huwezi kuitenganisha CCM na uozo wowote wa nchi hii.
Mkuu hio ni kweli kwa upande wa mbegu zambia wpo vizuri ukilinganisha na hawa wabongoman matapeliSijawahi ona bidhaa feki kutoka Zambia au Kenya imekuja Tanzania na nimemtumia.
In fact Kwa huku mipakani tukiko tunatumia zaidi bidhaa za Nchi jirani.
Kuna tofauti ya msingi wa jamii
Huku kwetu kitendo Cha kuwafurusha Wazungu kwenye plantation kimeharibh Kila kitu.Mkuu hio ni kweli kwa upande wa mbegu zambia wpo vizuri ukilinganisha na hawa wabongoman matapeli
chanjo gani?Nakuunga mkono nilipewa mbegu za mahindi kutoka Kenya na mchaga mmoja yeye anunua Kenya asee ni nzuri sana.
Hapa Tz Kila kitu kiko kimagumashi ukienda kwenye chanjo sasa ndo hamna kabisa unachanja kuku wako ugonjwa ukija ni unafyeka wote
Bashe ni tapeli....the fact ana asili na lile kundi la mafisadi kule kijani lililoongozwa na late EL says a lot....!Bashe Born Town
that should be the spirit....ukiwasubiri hawa matapeli wa serikali utachelewa sana!Naelewa siku nyingi sana kwamba usipojipigania mwenyewe na kusubiria kupiganiwa utafeli sana
Kukuchanjo gani?