Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mlingoti na Pinner huwa zinapinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MTi wa nguzo za umeme,mlingoti na mkaratusi yote ni miti tofautiNi ile miti ya nguzo za umeme. Kule Njombe ndio wanaita milingoti
Mmmmmmhmn nataka ufafanuzi zaidi
Kama ni hii basi huitwa pia Eucalyptus.Mbao C ndio mkaratusi...
Huwa zina mafuta fulani ambayo huchefua wadudu kuweza kuitafuna...mafuta ya huu mti pia hutumika kwenye kutengeneza dawa za mafua kama vicks
![]()
Na picha ya chini hapa ndio mti wa mkaratusi/mlingoti...
![]()
Chanika zinapatikana. Licha ya ubora wa Hali ya juu ya mbao hizi, mafundi wengi hawatakuambia uzitume. Nilipokuwa Nataka kuezeka ndipo nilipozitambua hizi mbao. Mafundi wengi niliozungumza nao hawakuzipendekeza Kwa maslahi Yao. Ila fundi mmoja ndiyo anapenda kuzituma hizo mbao. Alipokuja tu kufanya tathmini, hata kabla ya kumwambia kuhusu mbao hizo ni Yeye aliyependekeza zitumiwe hizo Kwa ajili ya ubora. Ana usemi anapenda kuseka, ukituma mlingoti uliokomaa, bati zitaisha, utazitoa na kuweka nyingine na zitaisha tena huku mbao zako Aiko vilevle.Huo mliingoti utautambuaje na una uzwa wapi wa hapa Dar es Salaam?
Kama ni hii basi huitwa pia Eucalyptus.
Kwenye ujenzi bhna kuna mambo ukikosea utakuja kujilaumu sana baadae.
Hizi mbao mnazoambiwa ni treated ni wizi mtupu,
Mbao za pine pia ni laini sana, mafundi wanazipenda sababu ya urahisi wa kunyoosha.
Ila kama unajielewa tumia mlingoti kwa sababu 2.
1. Utapunguza gharama kubwa sana ya mbao. Mfano, fundi akikwambia nyumba yako inataka mbao 100 za 2x4 na mbao 100 za 2x2, wewe cha kufanya nenda dukani nunua mbao 50 za 2x6 peleka mashineni uchaniwe katikati zitoke 2x3 tayari umepeta mbao 100, hizi kwa kenji ni balaa unakuwa umempita mbali sana kwa uimara na alieweka kenji za pine za 2x6
Kwenye zile za papi 100 unachukua mbao 30 za 2x6 unachana mara 3 zinatoka mbao 90 za 2x2, umemaliza kazi.
Mbao ya mlingoti ya 2x6 inauzwa sh. 8,000 mpaka 9,000 kwa Dar. Ukipiga hesabu hapo utakuwa umeokoa hela nyingi sana.
2. Utaepukana na mbao kuliwa na wadudu!
Mlingoti hauliwi hovyo hovyo na wadudu
NB: Kupaulia mlingoti unahitaji upate fundi kweli kweli na umsimamie kwenye unyooshaji, vinginevyo nyumba inakuwa na vibyongo.
Haswa haswa upate ule mlingoti unaoitwa gamzi daaa ni chuma balaaaKwenye ujenzi bhna kuna mambo ukikosea utakuja kujilaumu sana baadae.
Hizi mbao mnazoambiwa ni treated ni wizi mtupu,
Mbao za pine pia ni laini sana, mafundi wanazipenda sababu ya urahisi wa kunyoosha.
Ila kama unajielewa tumia mlingoti kwa sababu 2.
1. Utapunguza gharama kubwa sana ya mbao. Mfano, fundi akikwambia nyumba yako inataka mbao 100 za 2x4 na mbao 100 za 2x2, wewe cha kufanya nenda dukani nunua mbao 50 za 2x6 peleka mashineni uchaniwe katikati zitoke 2x3 tayari umepeta mbao 100, hizi kwa kenji ni balaa unakuwa umempita mbali sana kwa uimara na alieweka kenji za pine za 2x6
Kwenye zile za papi 100 unachukua mbao 30 za 2x6 unachana mara 3 zinatoka mbao 90 za 2x2, umemaliza kazi.
Mbao ya mlingoti ya 2x6 inauzwa sh. 8,000 mpaka 9,000 kwa Dar. Ukipiga hesabu hapo utakuwa umeokoa hela nyingi sana.
2. Utaepukana na mbao kuliwa na wadudu!
Mlingoti hauliwi hovyo hovyo na wadudu
NB: Kupaulia mlingoti unahitaji upate fundi kweli kweli na umsimamie kwenye unyooshaji, vinginevyo nyumba inakuwa na vibyongo.
Mafundi hawapendi kuzitumia sababu ya kuwa zinatumia muda mwingi kunyooshaChanika zinapatikana. Licha ya ubora wa Hali ya juu ya mbao hizi, mafundi wengi hawatakuambia uzitume. Nilipokuwa Nataka kuezeka ndipo nilipozitambua hizi mbao. Mafundi wengi niliozungumza nao hawakuzipendekeza Kwa maslahi Yao. Ila fundi mmoja ndiyo anapenda kuzituma hizo mbao. Alipokuja tu kufanya tathmini, hata kabla ya kumwambia kuhusu mbao hizo ni Yeye aliyependekeza zitumiwe hizo Kwa ajili ya ubora. Ana usemi anapenda kuseka, ukituma mlingoti uliokomaa, bati zitaisha, utazitoa na kuweka nyingine na zitaisha tena huku mbao zako Aiko vilevle.
share namba zake tucheze naeChanika zinapatikana. Licha ya ubora wa Hali ya juu ya mbao hizi, mafundi wengi hawatakuambia uzitume. Nilipokuwa Nataka kuezeka ndipo nilipozitambua hizi mbao. Mafundi wengi niliozungumza nao hawakuzipendekeza Kwa maslahi Yao. Ila fundi mmoja ndiyo anapenda kuzituma hizo mbao. Alipokuja tu kufanya tathmini, hata kabla ya kumwambia kuhusu mbao hizo ni Yeye aliyependekeza zitumiwe hizo Kwa ajili ya ubora. Ana usemi anapenda kuseka, ukituma mlingoti uliokomaa, bati zitaisha, utazitoa na kuweka nyingine na zitaisha tena huku mbao zako Aiko vilevle.
Very bold we jamaa mbao unaijua!2*6 ukiichana kwenye 2*2 kamwe hautapata mbao mbao 3 za 2*2 utabata 2 na 1 ya 2*1.5 ukijitahidi saana maana inaliwa na mashine.
Ndo huo huoHapa sasa ndo madesa yamechanganywa. Mlingoti na mkaratusi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Hilo ndio tatizo kuu la mlingoto ukikauka , pia ni mbao nzito sana nyumba iwe imejengwa imara huko chini la sivyo itayumba.Bei ya kupaua lazima iwe kubwa na uzipate mbichi, hizo mbao mafundi wanazikwepa kutokana na hii misumari ya kibongo inapinda sana