Kama unataka Ukuu wa Wilaya nenda DRC. M23 imetangaza kuunda Serikali mpya huko Kivu pamoja na kufanya teuzi

DRC ni nchi ya hovyo sana, nchi kubwa yenye mali asili i ya kila aina lakini hata Jeshi la maana hawana - Yaani hao wahuni wanawalaza na viatu kweli?
Acha tu mkuu.
 
Kuna mkono mzito nyuma yao mkuu...
 
Wameenda na silaha hafifu chini ya mwamvuli wa sadc, nilisikia kuna reinforcement,ngoja tusubiri kikao cha sadc dar pia
Hamna kitu hapo yaani uende vitabubna silaha hafifu ilo jeshi kitakua halijitambui kama kweli unaenda Kwa adui na silaha hafifu
 
Sasa kama viongozi wa nchi wameshindwa kulipa jeshi lao silaha nzito wanajeshi wafanyaje? Matokeo yake wanajeshi wanakimbia vita halafu wanapewa hukumu ya kifo.
 
Waafrika tumeshindwa kumsaidia mwenzetu? tatizo ni nini? Ni sawa na jirani yako kuvamiwa na majambazi, anapiga kelele kuomba msaada; sisi tunabaki kuchungulia dirishani tu.​
 
Sasa kama sisi wenyewe tumechezea kichapo unataka tumfanyaje hao m23 sio watu wazuri walioground ndio wanavyosema wanatoa kichapo Cha mbwa koko
 
Back
Top Bottom