Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Jamaa wanatisha silaha zao Africa hii huzipati kwenye nchi masikiniWao wana slaa nzito kuliko sisi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wanatisha silaha zao Africa hii huzipati kwenye nchi masikiniWao wana slaa nzito kuliko sisi?
Mkuu kwenye hili swala viongozi wamezembea siamini kama M23 wana jeshi bora kuidi SADC au EAC .Wao wana slaa nzito kuliko sisi?
usiingize ccm kwenye mambo ya kikabila, kikanda, kidini na kijimbo haipo. Congo ni ukabila, ukanda ndio unaimaliza nchi hiyoMuda si mrefu tutapata Nchi iitwayo kivu chini ya M23. Madhara ya kubagua watu hutengeneza makundi ya waasi ambao nao husababisha kujimegea Nchi Yao.CCM wajifunze,waache unyanyasaji.
Jaribu kuingia ground hata liada limoja tu ndio utajua kama wamezembea au laah naona vita dhidi ya watu waliojiandaa kikamilifu unaichukilia rahisi sana hao sio vibaka ni wanajeshi tena wanamafunzo kuzidi hata baadhi ya majeshi ya nchiMkuu kwenye hili swala viongozi wamezembea siamini kama M23 wana jeshi bora kuidi SADC au EAC .
There is something fishy.
Wakati huo wewe uko mbezi umetulia na mambo yako , waasi unawajua? Au ubawasikia tuWaasi wa M23 wameunda Serikali mpya nchini DRC kwa kumteua Kanali Bahati Musanga kuwa Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini, manaibu Gavana wawili, Willy Manzi na Shadary Bahati, Meya wa Jiji la Goma, pamoja na Wakuu wa Wilaya.
M23 imetangaza uteuzi huo wiki moja baada ya kuuteka mji wa Goma, huku sehemu kubwa ya maeneo mengine likiwemo eneo kubwa la Walikale, Lubero, na Beni yakiwa bado chini ya udhibiti wa serikali ya DRC.
============================================
Rwandan-backed M23 rebels have seized control of a mining town in eastern Democratic Republic of Congo's South Kivu province, eight sources said on Wednesday, in an apparent violation of a unilateral ceasefire they declared this week.
The capture of Nyabibwe on Lake Kivu takes the rebels a step closer to the provincial capital Bukavu some 70 km (40 miles) south, a city the rebels said last week they had no intention of capturing. M23 announced a ceasefire on Monday.
Eight people, including local officials, a civil society representative, rebels and an international security source, confirmed Nyabibwe had fallen to the rebels.
"There have been clashes since 5 a.m., and it was at 9 a.m. that the town fell into the hands of the rebels. They're in the centre of the town at the moment," said the civil society leader, who like the other sources spoke on condition of anonymity.
Nyabibwe, where mines produce gold, coltan and other metals, is a commercial hub more than halfway between Goma, the capital of North Kivu province that the rebels took last week, and Bukavu.
Congo's Communications Minister Patrick Muyaya told Reuters rebels violated the ceasefire at night and were facing resistance from Congolese armed forces around Nyabibwe.
Source: Reuters
Umsaidie nini mkabila yule? anaua raia wake na kuwafukuza waende wapi, M23 ni Congolese and I’m glad wamempa kichapo yule dereva wa Uber, Africa acheni ukabilaWaafrika tumeshindwa kumsaidia mwenzetu? tatizo ni nini? Ni sawa na jirani yako kuvamiwa na majambazi, anapiga kelele kuomba msaada; sisi tunabaki kuchungulia dirishani tu.
Biashara gan sasa huko mtumishMimi ni Mfanyabiashara nitaenda kuangalia fursa bila kubuguziwa na askari wa Kongo ambao kila wakiona mgeni wanadai rushwa.
Mimi huwa sifichi kazi yangu kama hiwa unanisoma mimi ni Transporter wa mizigo na vimiminika nimesafirisha mizigo tokea wakati wa Habyarimana na baada ya Rwanda kukombolewa nilikuwa nafanya na UNHCR kurudisha Wakimbizi Rwanda na haswa pale Amahoro Stadium.Biashara gan sasa huko mtumish
kama ikitokea hivyo basi labda Marekani ndio ina coordinate kila kitu si unajua tunapoelekea mafuta yatakuwa sio dili sana bali magari ya umeme na inasemekana ineo hilo kunahazina ya kutosha ya madini yakutengenezea batteries za magari ya umeme.Jamuhuri ya Kivu ni nchi mpya itakayokua na nguvu kiuchumi na kijeshi kushinda nchi zote za maziwa makuu.i
Lucas Mwashambwa usipitwe na fursa hiiWaasi wa M23 wameunda Serikali mpya nchini DRC kwa kumteua Kanali Bahati Musanga kuwa Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini, manaibu Gavana wawili, Willy Manzi na Shadary Bahati, Meya wa Jiji la Goma, pamoja na Wakuu wa Wilaya.
M23 imetangaza uteuzi huo wiki moja baada ya kuuteka mji wa Goma, huku sehemu kubwa ya maeneo mengine likiwemo eneo kubwa la Walikale, Lubero, na Beni yakiwa bado chini ya udhibiti wa serikali ya DRC.
============================================
Rwandan-backed M23 rebels have seized control of a mining town in eastern Democratic Republic of Congo's South Kivu province, eight sources said on Wednesday, in an apparent violation of a unilateral ceasefire they declared this week.
The capture of Nyabibwe on Lake Kivu takes the rebels a step closer to the provincial capital Bukavu some 70 km (40 miles) south, a city the rebels said last week they had no intention of capturing. M23 announced a ceasefire on Monday.
Eight people, including local officials, a civil society representative, rebels and an international security source, confirmed Nyabibwe had fallen to the rebels.
"There have been clashes since 5 a.m., and it was at 9 a.m. that the town fell into the hands of the rebels. They're in the centre of the town at the moment," said the civil society leader, who like the other sources spoke on condition of anonymity.
Nyabibwe, where mines produce gold, coltan and other metals, is a commercial hub more than halfway between Goma, the capital of North Kivu province that the rebels took last week, and Bukavu.
Congo's Communications Minister Patrick Muyaya told Reuters rebels violated the ceasefire at night and were facing resistance from Congolese armed forces around Nyabibwe.
Source: Reuters
Kila siku tunasema humu tuna jeshi la kifala na wapumbavu siku hiziJeshi la SA na jw na wengineo kwamba wamechemka au,
Jamaa wanaenda kuichukua Congo yote,nimegundua Rwanda huenda kijeshi ipo juu kuliko nchi zote za jirani zake
Duh... ya kweli hayo kiongoziKila siku tunasema humu tuna jeshi la kifala na wapumbavu siku hizi
kazi kubwa ni kupiga raia na kufanya maonyesho uwanja wa taifa.....
Hapo Msumbiji walikula kichapo sana mpaka Rwanda akaja kutuokoa.....
View attachment 3227241
Ilikua ni peace keeping mission,hawakutarajia hayaHamna kitu hapo yaani uende vitabubna silaha hafifu ilo jeshi kitakua halijitambui kama kweli unaenda Kwa adui na silaha hafifu
Unajua silaha kwa kiasi gani silaha za zamani na za kisasa katika ulizoziona tutajie jee hzo za kisasa zinatengenezwa wapi hv kweli umeona silaha za kisasa ww za kutoka nchi gani hv Abraham tank ipo au T15 ya China ipo je storm shadow vp B15 au Mark Markava how about f35 B basi hzo zote sio za kisasa wacheni kuongea msivovijuaKweli umeona silaha Nilikuwa nins wa underate sana m23 lakini juzi nilivyoona silaha za kisasa wanazomiliki,nilijiuliza maswali mengi sana
Sio kweli mkuu.japo vitani kushambuliwa ni kawaida sanaKila siku tunasema humu tuna jeshi la kifala na wapumbavu siku hizi
kazi kubwa ni kupiga raia na kufanya maonyesho uwanja wa taifa.....
Hapo Msumbiji walikula kichapo sana mpaka Rwanda akaja kutuokoa.....
View attachment 3227241
Sio kweli mkuu.japo vitani kushambuliwa ni kawaida sana
Viongozi Marais wengi Africa wanajua kuiba na kutorosha mali au kujilimbikizia tu. Wanawaza kikinuka tu wanakimbilia nje. Wangewekeza kwenye maendeleo makubwa na jeshi imara kuwainua raia, sio rahisi hata kidogo mbwa yeyote kuingia kwako. Bila utani Rwanda haishii Congo. Ikumbukwe anachofata Congo ni madini na mali zingine zilizomuwezesha kununua silaha Kali mpaka drones. Tanzania (DSM) atataka Bandari mpaka Beira Msumbiji. Sisi tukalie siasa za Lisu na Samia CUF na CCM, tutajuta. Serikali itoe ajira kwa maelfu ya vijana wetu, wa IT (computer science) wahandisi, na ujuzi mbalimbali haraka. Fedha zinazolundikwa kwenye siasa zipelekwe haraka jeshini. Serikali ipandikize majasusi Rwanda, Congo na Uganda ambaye ni mshirika mtutsi mwenzake Kagame.Jeshi la SA na jw na wengineo kwamba wamechemka au,
Jamaa wanaenda kuichukua Congo yote,nimegundua Rwanda huenda kijeshi ipo juu kuliko nchi zote za jirani zake