Kama unatoka ukoo huu jukumu la kutengeneza ukoo mwingine tajiri linakuhusu

• Haki ya kiuchumi aendelee kubaki nayo mwenyewe, kwa sababu tayari nimeshaona haita nisaidia nitakavyo....(labda angeeleza kuhusu BUSINESS START WITH ZERO CAPITAL) 🤗🤗, kidogo ningemuelewa.

• Hapa tunazungumzia masuala ya pesa, pesa haitafutwi kwa maneno, bali inatafutwa kwa action.. (Mkuu kwani ulisha wahi kuona msomi au professor Tajiri?) au utaniludisha pale pale kuwa mshauri wa masuala ya fedha siyo lazima awe Tajiri 🤔?

• Hapa ndo utajua utafutaji na maandishi ni vitu viwili tofauti.
 
Uko sahihi mkuu!
 
H

Hili linatukwamisha sana
 
Inaitwa cycle.
Kujitoa kwenye circle.
Mfano huwezi ingia jela kama katika ukoo wenu hakuna aliyewahi kwenda jela.
Thus wanasema hakuna mfungwa mpya ukiingia jela lazima katika ukoo wako pana damu ishawahi ingia jela.
Maana jela ni roho.
 
Najiengua kwenye umaskini kwa kutoa mikeke... sure odds + stake ya maana
 
Je thread hii pampja na mtazamo wa mleta mada … vina ukweli kiasi gani?
Unaweza ki relate na hii mada ?
 
Nondo
 
Hakika.. Unaweza kuvunja Generational Curses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…