SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Ili kuendelea na drama zao za sizitaki mbichi hizi, msemaji wa Deportivo la Utopolo amenukuliwa akisema kuwa uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi ni mbaaali sana kwao ni kama walikuwa wanasafiri kwenda mkoani.
Sijajua hili wamegundua lini maana walikuwa wanapasifia balaa hadi pale walipopokea vipigo viwili vitakatifu.
Swali langu, kama bado Deportivo la Utopolo wameweka makazi yao kule vijiji vya Kimbiji, wapi kutakuwa mbali zaidi kati ya kutokea kule kwenda Chamazi au kwenda KMC Complex, Mwenge.
Kwa mnaoijua jiografia na miundombinu ya Dar embu mtujuze.