Kwani kule Chamazi na viunga vyake hakuna mashabiki? Na lini waliwahi kusema kuwa hilo ni tatizo?Hapo hakuilenga team, mana basi la wachezaji likiwa linawapeleka kwenye match hutumia escort ya polisi.. Kufika ni faster..
Hapa mashabiki ndo walilengwa zaid, ki jeografia chamazi ni mbali, ila mwenge ni center, kwa mashabiki Uwanja wa Kmc upo karibu zaid kufikiwa na mashabiki tofauti na chamazi..
Mmmmh Mwenge mbali sana aisee mbali.Ili kuendelea na drama zao za sizitaki mbichi hizi, msemaji wa Deportivo la Utopolo amenukuliwa akisema kuwa uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi ni mbaaali sana kwao ni kama walikuwa wanasafiri kwenda mkoani.
Sijajua hili wamegundua lini maana walikuwa wanapasifia balaa hadi pale walipopokea vipigo viwili vitakatifu.
Swali langu, kama bado Deportivo la Utopolo wameweka makazi yao kule vijiji vya Kimbiji, wapi kutakuwa mbali zaidi kati ya kutokea kule kwenda Chamazi au kwenda KMC Complex, Mwenge.
Kwa mnaoijua jiografia na miundombinu ya Dar embu mtujuze.
Tofauti ni 3kmIli kuendelea na drama zao za sizitaki mbichi hizi, msemaji wa Deportivo la Utopolo amenukuliwa akisema kuwa uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi ni mbaaali sana kwao ni kama walikuwa wanasafiri kwenda mkoani.
Sijajua hili wamegundua lini maana walikuwa wanapasifia balaa hadi pale walipopokea vipigo viwili vitakatifu.
Swali langu, kama bado Deportivo la Utopolo wameweka makazi yao kule vijiji vya Kimbiji, wapi kutakuwa mbali zaidi kati ya kutokea kule kwenda Chamazi au kwenda KMC Complex, Mwenge.
Kwa mnaoijua jiografia na miundombinu ya Dar embu mtujuze.
Alisikika utopwinyo mmoja hvKama chamazi karibu nenda wewe
Yanga tunachezea Mwenge
Kama chamazi karibu nenda wewe
Yanga tunachezea Mwenge
Kumbe mlikuwa mnaionea donge Simba?Kmc kwakweli sisi wa City center karibu..
CHAMANZI mbali ni kama uwanja walijengewa watu wa Mbagala na viunga vyake
Acha tu mkuuSiku nzima mada huwa ni zile zile tu.