Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Nakusalimu bibie.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au kila mtu abaki na chake ye na hela zake na huyu na utamu wake
Sijambo mimi kakaNakusalimu bibie.
Hivi huo utamu wanawake huwa hawaupati au kuwa na uhitaji nao?
Mimi nafikiri huduma na msaada vitolewe kwenye mahusiano kwa sababu ya UPENDO na JUKUMU (Ndoani).
Sijui kwanini huo usemi naona unahalalisha ule usemi wa "mwanamke ni chombo cha starehe" au "mwanamke hana cha 'kuoffer' kwenye mahusiano zaidi ya 'gh***fjk'"
Ila ubahili mbaya sana, ikizungumziwa pesa unaweza kujikuta unaandika humalizi.
Wanatufilisi bwana majukumu yote hayo Mara ana msiba,Mara shuhuri,au Mara hajala inakeraWanaume mmeumbiwa majukumu.acheni kuyakwepa
Hela ya vocha tu mwenzio kachacha unakimbia kulea familia akibeba mimba utaweza? Na huko jukumu pia wengi mnakimbia kwa kukataa mimba.
Utamnyima hela lakini jua ukimuoa utamtunza.ukishindwa watamchukua wenzio wamtunze.
Hata katiba ya nchi kuhusu ndoa unasema mojawapo ya haki ya mke katika ndoa ni kutunzwa na mme wake.
Wanawake angalieni wanaume mnaotoka nao.mwanaume akiwa mbinafsi kwa kidogo usitarajie akawa mkarimu kwa kikubwa.
Epuka mwanaume mkimbiaji majukumu,atakucost!
Nyie viumbe hata mbinguni tungekua tunaenda kwa kupigiwa simu mngeanza kumsumbua malaika wa zamu eti namba yako katoa wapiWanaume mmeumbiwa majukumu.acheni kuyakwepa
Hela ya vocha tu mwenzio kachacha unakimbia kulea familia akibeba mimba utaweza? Na huko jukumu pia wengi mnakimbia kwa kukataa mimba.
Utamnyima hela lakini jua ukimuoa utamtunza.ukishindwa watamchukua wenzio wamtunze.
Hata katiba ya nchi kuhusu ndoa unasema mojawapo ya haki ya mke katika ndoa ni kutunzwa na mme wake.
Wanawake angalieni wanaume mnaotoka nao.mwanaume akiwa mbinafsi kwa kidogo usitarajie akawa mkarimu kwa kikubwa.
Epuka mwanaume mkimbiaji majukumu,atakucost!
Ifike wakat wanadmu kujitambua 7bbu shida 2meumbiw binadam.Kwan wa2 weny ela hawa gongew?Ningependa kujua hili.
Kwasababu kwa kawaida mtu akikwama mtu wa kwanza kumwambia ni yule wa karibu.
Ni nini mtazamo wako?
Ukiona mimb imekataliwa na mwanaume jua ww mwanmke una wanaume wengi.Wanaume mmeumbiwa majukumu.acheni kuyakwepa
Hela ya vocha tu mwenzio kachacha unakimbia kulea familia akibeba mimba utaweza? Na huko jukumu pia wengi mnakimbia kwa kukataa mimba.
Utamnyima hela lakini jua ukimuoa utamtunza.ukishindwa watamchukua wenzio wamtunze.
Hata katiba ya nchi kuhusu ndoa unasema mojawapo ya haki ya mke katika ndoa ni kutunzwa na mme wake.
Wanawake angalieni wanaume mnaotoka nao.mwanaume akiwa mbinafsi kwa kidogo usitarajie akawa mkarimu kwa kikubwa.
Epuka mwanaume mkimbiaji majukumu,atakucost!
Sio mzigo tu na raha pia. Maisha ni kupanda na kushuka, shida na raha, kama vile kwa mtu ambaye hayuko katika ndoa, sema mnakuwa wawili mkiyaishi pamoja.Hivi kwenye ndoa kuna uzoefu?
Mimi najua kila mtu anabeba zigo lake mwenyewe
Wengine walibeba sura halafu zinawasumbua
Wengine walibeba wowo au makalio yanawatokea puani
Wengine walioa vimbaumbau sura ngumu miguu kama chaga wanaishi kwa furaha na amani tele na ndoa zipo imara
Wengine walio miguu ya bia wana raha na amani
Tatizo ndoa kila mtu anabeba tatizo lake hakuna uzoefu
Bebi anataka kubadilisha simu aliyonayo kaichoka, anataka Simu nyingine.
Huo mkwamo gani ? au kutiana jazba tu..
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
Yeye kama kuna sehemu atataka apeleke K yake, yeye apele tu[emoji3525] cha msingi arudi nayo.
Mtazamo upi?Ningependa kujua hili.
Kwasababu kwa kawaida mtu akikwama mtu wa kwanza kumwambia ni yule wa karibu.
Ni nini mtazamo wako?
Utam kila mtu anao mwenyewe ni kiherehere chetu tu kuombana ushirika![emoji1787][emoji1787][emoji1787] au kila mtu abaki na chake ye na hela zake na huyu na utamu wake
Imekaa kiume sana πππ tusileteane jamu!Bebi anataka kubadilisha simu aliyonayo kaichoka, anataka Simu nyingine.
Huo mkwamo gani ? au kutiana jazba tu..
ππππ
Yeye kama kuna sehemu atataka apeleke K yake, yeye apele tuβΉοΈ cha msingi arudi nayo.
Mapenzi ni biashara, kinachofuata ni Magu kuwafyatulia vitambulisho tu vya mmachina kwa mwaka 20K!Shida ipi ya kuomba Kwa mwanaume mwingine? Vocha?Pesa ya kula?Ya saloon?
Maisha ya sasa kila mwanamke anatakiwa ajitahidi amudu mahitaji yake ya msingi
Mume au Boyfriend ajazie panapo pungua..
Kama mwanamke ana mahitaji ambayo yeye mwenyewe hajitoshi na mumewe au bf nae hatoshi.. anahitaji mtu wa tatu kumsaidia..
Na amtunuku huyo wa tatu mapenzi?
Na WA tatu akishindwa? Anatafuta wa wa nne?.. tofauti yake na kahaba iko wapi?
Shida zenu huwa hazina kikomo! Af zote za hela tu shida ya kuomba kuchakatwa sio kipaumbele kwenu πππKama una uwezo wa kumsaidia akikuomba we mpe tu mbona utamu anakupa jamani akiwa na shida kwa nini usimsaidie
Tatizo Vocha ataitumia kuongea na mshenzi mwenzie sasa kwanini udhamini fedhuli, kulikoni nimpe vocha bora nimnunulie chakula ale πππWanaume mmeumbiwa majukumu.acheni kuyakwepa
Hela ya vocha tu mwenzio kachacha unakimbia kulea familia akibeba mimba utaweza? Na huko jukumu pia wengi mnakimbia kwa kukataa mimba.
Utamnyima hela lakini jua ukimuoa utamtunza.ukishindwa watamchukua wenzio wamtunze.
Hata katiba ya nchi kuhusu ndoa unasema mojawapo ya haki ya mke katika ndoa ni kutunzwa na mme wake.
Wanawake angalieni wanaume mnaotoka nao.mwanaume akiwa mbinafsi kwa kidogo usitarajie akawa mkarimu kwa kikubwa.
Epuka mwanaume mkimbiaji majukumu,atakucost!
Kama tulivyokubaliana katika kikao kilichopita mkuu!πVizinga Ni mwiko