Kama unaumia ukiombwa pesa na Mpenzi wako akiwa na shida, Je, utafurahia akisaidiwa na 'baharia' mwingine?

Tatizo Vocha ataitumia kuongea na mshenzi mwenzie sasa kwanini udhamini fedhuli, kulikoni nimpe vocha bora nimnunulie chakula ale [emoji23][emoji23][emoji23]
Na chakula akishiba hizi nguvu anazopata anaenda kumpa shughuli m**** mwenzie [emoji1787][emoji1787]

Sio wote wako hivo.wengine wako committed Na mmoja na waaminifu.muwajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…