My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Consequences zake hautaziwaItakula kwangu kivipi? Waache waingie.. ndoa sio mbaya kwa watu wote. Wengi tu wanaenjoy!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui unachoongea. Vitu vingine ni bora ugive up.Consequences zake hautaziwa
Kwanini mbaya kwako Wewe
Hapana sio Wengi wanaoenjoy
Heshimu mawazo ya mtu sio lazima tufanane!Yaani mm ningekufuta wewe mwenye mawazo ya kipuuzi.
Mbona munapiga kelele kwenye uzi wanguu!!Nitaichukiaje ndoa kama sipo kwenye ndoa? Yatakuwa maajabu kuchukia kitu usichokifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅 Sorry mkuu tumeshanyamaza, all is well
Hujui unachoongea. Vitu vingine ni bora ugive up.
Kumbe unajua sio wengi wanaoenjoy kwanini unanishangaa mie. Kwanini ung'ang'anie sehemu ambayo huna raha kwa manufaa ya nani? Jamii?? Watu watanionaje? Hapo ndipo tunapofail..kupeana magonjwa ya moyo bila sababu ya msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ufute pesa alaf utaishije? WeweKama ungepata nafasi na uwezo wa kuondoa na kufuta kabisa kitu chochote hapa Duniani ungechagua nini?
Me naanza kwa kuorodhesha vitu 3 ambavyo kama ningepata nafasi uwezo na nguvu ningevifutilia mbali ndani ya dakika 0
1 Pesa
2. Dini
3. Mitandao ya kijamii
Wewe je?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitasex na nani? Are you serious???🙄🙄🙄. Hebu tuishie hapa..jamaa kasema tunampigia kelele 😄😄😄Najua nachoongea, kugive up ni kwako Wewe Sasa Demi...Nachoshangaa ni Wewe kuikataa Ndoa Sishangai kutokuenjoy kwako
Ndoa ni Ngumu Nani asiejua ? Au yako ni special case
Consequences huto ziweza Sasa that's my point
Hivi una expect nini Wewe baada ya kuachana na mumeo ?
Utasex na Nani ? Yani Miaka yako yoote ukae alone unaujua upweke Wewe? Maana hapo tusitarajie Sana kwamba utapata mtu
Kelele kwan Saut hiziNitasex na nani? Are you serious???[emoji849][emoji849][emoji849]. Hebu tuishie hapa..jamaa kasema tunampigia kelele [emoji1][emoji1][emoji1]
Kupanga ni kuchagua, naweza gongwa na jamaa na si vijamaaKelele kwan Saut hizi
Am serious Sijui ati ?
Yani Kugongwa gongwa na vijamaa mtaani ndio utakacho furahia [emoji23][emoji23]
WoiAmbae ni Mume mtu Pengine Yale Yale [emoji1787][emoji1787]
Haya Demi ukiachana na Mumeo Mimi nipo, I hope Ntakua napata Kibarua hapo
Zamani pesa haikuwepo je watu walikuwa hawaishi?
Hicho kitu ni simple mkuuTitle ya thread inasema KAMA