Kama ungepata nafasi ungefanya nini?

Kama ungepata nafasi ungefanya nini?

Consequences zake hautaziwa
Kwanini mbaya kwako Wewe
Hapana sio Wengi wanaoenjoy
Hujui unachoongea. Vitu vingine ni bora ugive up.
Kumbe unajua sio wengi wanaoenjoy kwanini unanishangaa mie. Kwanini ung'ang'anie sehemu ambayo huna raha kwa manufaa ya nani? Jamii?? Watu watanionaje? Hapo ndipo tunapofail..kupeana magonjwa ya moyo bila sababu ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua nachoongea, kugive up ni kwako Wewe Sasa Demi...Nachoshangaa ni Wewe kuikataa Ndoa Sishangai kutokuenjoy kwako
Ndoa ni Ngumu Nani asiejua ? Au yako ni special case
Consequences huto ziweza Sasa that's my point
Hivi una expect nini Wewe baada ya kuachana na mumeo ?
Utasex na Nani ? Yani Miaka yako yoote ukae alone unaujua upweke Wewe? Maana hapo tusitarajie Sana kwamba utapata mtu
 
Kama ungepata nafasi na uwezo wa kuondoa na kufuta kabisa kitu chochote hapa Duniani ungechagua nini?

Me naanza kwa kuorodhesha vitu 3 ambavyo kama ningepata nafasi uwezo na nguvu ningevifutilia mbali ndani ya dakika 0

1 Pesa

2. Dini

3. Mitandao ya kijamii

Wewe je?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ufute pesa alaf utaishije? Wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua nachoongea, kugive up ni kwako Wewe Sasa Demi...Nachoshangaa ni Wewe kuikataa Ndoa Sishangai kutokuenjoy kwako
Ndoa ni Ngumu Nani asiejua ? Au yako ni special case
Consequences huto ziweza Sasa that's my point
Hivi una expect nini Wewe baada ya kuachana na mumeo ?
Utasex na Nani ? Yani Miaka yako yoote ukae alone unaujua upweke Wewe? Maana hapo tusitarajie Sana kwamba utapata mtu
Nitasex na nani? Are you serious???🙄🙄🙄. Hebu tuishie hapa..jamaa kasema tunampigia kelele 😄😄😄
 
Nitasex na nani? Are you serious???[emoji849][emoji849][emoji849]. Hebu tuishie hapa..jamaa kasema tunampigia kelele [emoji1][emoji1][emoji1]
Kelele kwan Saut hizi
Am serious Sijui ati ?
Yani Kugongwa gongwa na vijamaa mtaani ndio utakacho furahia [emoji23][emoji23]
 
Ambae ni Mume mtu Pengine Yale Yale [emoji1787][emoji1787]
Haya Demi ukiachana na Mumeo Mimi nipo, I hope Ntakua napata Kibarua hapo
 
Back
Top Bottom