Kama ungepewa nafasi ya kurudia maisha yako nyuma miaka 5, ungechagua nini?

Joseph midimu

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2024
Posts
234
Reaction score
428
Falsafa Za Maisha.
Ndg,πŸ’ͺ🏾

Kama ungepewa nafasi ya kurudia maisha yako nyuma miaka 5, ungechagua nini? πŸ“šβœπŸΎπŸ€”

Select one
* Ningebadilisha marafiki zangu au hata nisiwe na marafiki kabisaπŸ˜“....
* Ningejifunza mapema maisha πŸ“š.....
* Nisingeanguka kwenye mapenzi 🌹 .....
* Nisingerudia makosa yale yale πŸ˜” ......
* Ningeanza kuwekeza kwenye Mali na sio elimu ya darasani😭😌......
 
Hakuna ambacho ningefanya ila daah ungeniambia ningerudi miaka 20 nyuma ningefanyeje ningekwambia ningemtia mimba yule binti kigoli mbiiichi alienifuata na kunipigia magoti chini akinisihi sana na kuniomba kwa upendo uliopitiliza akinitaka nimpige mimba nikamgomea ningerudi pale ningempiga mimba tena bila kujiuliza mara nyingi, niishie hapo
 
1. Ningesema NO kwa watu wengi zaidi
2. Ningezikumbatia fursa zote zilizonikimbilia
3. Ningewapa muda zaidi watu wanaonipenda kuliko wanaonihitaji

Bottom line, Moyo ndio uliniponza, sometimes naamini hata kama ningerudisha siku nyuma. Pengine ningefanya mambo yaleyale unless moyo na nafsi ningebadilishiwa

So no regrets
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…