Swali la kwanza Kuacha chuo was very wrong move naweza sema nilikuwa na akili za kitoto niliamini maisha ya kitaa nayamudu kweli nilayamudu ila nilikuwa sipigi hatua kwa miaka mitano nilipauka haswa,sijakaa sawa classmate wamemaliza chuo wanaanza kupata michongo mara TRA,TIRA,PURA,TPDC,TANESCO,NSSF,NHIF, STAMICO lectures UDOM,UDSM wengine wakatupwa halmashauri huko.Vijana wenzio wanalipa nyumba kodi 250k,300k,500k wakati ww unalipa 50k lazima ushtuke na useme this life is not fucking mine i have to do something very hard.
Akili zikarud Nikarud chuo nikiwa na 27 yrs naanza first year kimyakimya Na kuacha harakati zangu zote even though mwaka wa kwanza ulikuwa tough sana kwangu kwenye swala la uchumi kula sana ukoko kummke.Nimemaliza shule Nimerudi mtaani watu niliwowaacha wako vile vile nothing changed, nimekaa week mbili tu kazi za kueleweka zikapatikana.
Kama kuna kijana unanisoma listen kama una nafasi ya kurudi chuo fanya haraka sana na kama una mawazo ya kuacha chuo usithubutu.Africa bado shule itabaki muhimu na ukichunguza wanaoponda elimu wao wamesoma na elimu zimewalipa.
Elimu imenilipa kwa sababu imebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa hata uhakika wa kula na kujihudumia hata kuwa na familia sahvi ninao 80 kgs kutoka 60kgs famchezo.