Kama ungepewa nafasi ya kurudia maisha yako nyuma miaka 5, ungechagua nini?

Ahahahaha!๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ’ฏ,, umetisha sana.
 
Mabodaboda na mama ntilie wnegi tu ni degree holders! Sijui unajuta nini!
Nilirudi chuo nimemaliza mwaka jana(30yrs) na Asante Mungu mambo mazuri sio kama nilivyokaa kitaa bila carrier.

Wachache sana waliosoma kozi za science halafu awe hana ramani achana na hawa watu wa kozi za arts...Mimi niliacha Electrical engineering DIT mwaka wa kwanza kabisa...wanangu wote wapo vitengo.
 
Niliacha pia nikarudi tena! So una maana ya kuwa mtu akisoma sciences anapata kazi ila sio arts?
 
Niliacha pia nikarudi tena! So una maana ya kuwa mtu akisoma sciences anapata kazi ila sio arts?
Ukweli mbona uko wazi watu wa arts kupata kazi ni changamoto (struggle ni kubwa) tofauti na science....kule UDOM watu wa social kozi moja wanamaliza watu 700 na hiko ni chuo kimoja wakiingia mtaani lazima wadake boda za mkataba(siipendi maana sio kazi).

Watu wa science hasa engineering kazi zipo nyingi tu akiwa mtaani ujue amekataa kazi za 400k,500k ila michongo ipo.
 
Uko sahihi mkuu!
 
Ningeenda Marekani kabla ya trump kuingia madaraka kwa awamu ya pili. $10,000 imeniuma sana.
 
Hehehehe
 
Mambo yote niliyofanya vkwa maamuzi yangu nisingefanya mpaka Sasa najuta ๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ