GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,599
- 11,307
Nipo mgodini nakula maishaHuyu jamaa yenu hana akili
Ww imekulipa,, kitu gani.?Nipo mgodini nakula maisha
Kitaa kilinichapa sana sana mtaalamu ukipitia nyuzi zangu za 2021-2023 utajionea nilikuwa nalia njaa humu ndani lakini watu walikula buyu.
Ningemalizaga ile 2020 sahiv ningekuwa mbali sana. Akili zilirudi nikashtuka mtaani napoteza muda na kurudi shule. wewe kama elimu haijakulipa pole sana.
Swali la kwanza Kuacha chuo was very wrong move naweza sema nilikuwa na akili za kitoto niliamini maisha ya kitaa nayamudu kweli nilayamudu ila nilikuwa sipigi hatua kwa miaka mitano nilipauka haswa,sijakaa sawa classmate wamemaliza chuo wanaanza kupata michongo mara TRA,TIRA,PURA,TPDC,TANESCO,NSSF,NHIF, STAMICO lectures UDOM,UDSM wengine wakatupwa halmashauri huko.Vijana wenzio wanalipa nyumba kodi 250k,300k,500k wakati ww unalipa 50k lazima ushtuke na useme this life is not fucking mine i have to do something very hard.Ww imekulipa,, kitu gani.?
Na wakati unaacha shule ulikua na plan gani ya kwenda kutimiza kitaa.?
Jibu hayo maswali mawili!
Ningebetia gem zote ambazo nimeziangalia na ninajua matokeo yake kwa miaka 5Falsafa Za Maisha.
Ndg,๐ช๐พ
Kama ungepewa nafasi ya kurudia maisha yako nyuma miaka 5, ungechagua nini? ๐โ๐พ๐ค
Select one
* Ningebadilisha marafiki zangu au hata nisiwe na marafiki kabisa๐....
* Ningejifunza mapema maisha ๐.....
* Nisingeanguka kwenye mapenzi ๐น .....
* Nisingerudia makosa yale yale ๐ ......
* Ningeanza kuwekeza kwenye Mali na sio elimu ya darasani๐ญ๐......
Bado hujajibu swali!,,swali linasema ulipoacha chuo ulikua na mpango upi wa kwenda kufanya kitaa.?Swali la kwanza Kuacha chuo was very wrong move naweza sema nilikuwa na akili za kitoto niliamini maisha ya kitaa nayamudu kweli nilayamudu ila nilikuwa sipigi hatua kwa miaka mitano nilipauka haswa,sijakaa sawa classmate wamemaliza chuo wanaanza kupata michongo mara TRA,TIRA,PURA,TPDC,TANESCO,NSSF,NHIF, STAMICO lectures UDOM,UDSM wengine wakatupwa halmashauri huko.Vijana wenzio wanalipa nyumba kodi 250k,300k,500k wakati ww unalipa 50k lazima ushtuke na useme this life is not fucking mine i have to do something very hard.
Akili zikarud Nikarud chuo nikiwa na 27 yrs naanza first year kimyakimya Na kuacha harakati zangu zote even though mwaka wa kwanza ulikuwa tough sana kwangu kwenye swala la uchumi kula sana ukoko kummke.Nimemaliza shule Nimerudi mtaani watu niliwowaacha wako vile vile nothing changed, nimekaa week mbili tu kazi za kueleweka zikapatikana.
Kama kuna kijana unanisoma listen kama una nafasi ya kurudi chuo fanya haraka sana na kama una mawazo ya kuacha chuo usithubutu.Africa bado shule itabaki muhimu na ukichunguza wanaoponda elimu wao wamesoma na elimu zimewalipa.
Elimu imenilipa kwa sababu imebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa hata uhakika wa kula na kujihudumia hata kuwa na familia sahvi ninao 80 kgs kutoka 60kgs famchezo.
Ndomana kasem alijuta hasa huko kufanikisha kunatoka wapi ndugu ?Bado hujajibu swali!,,swali linasema ulipoacha chuo ulikua na mpango upi wa kwenda kufanya kitaa.?
Je uliufanikisha.?
Duh kumbe umenenepa sio.Swali la kwanza Kuacha chuo was very wrong move naweza sema nilikuwa na akili za kitoto niliamini maisha ya kitaa nayamudu kweli nilayamudu ila nilikuwa sipigi hatua kwa miaka mitano nilipauka haswa,sijakaa sawa classmate wamemaliza chuo wanaanza kupata michongo mara TRA,TIRA,PURA,TPDC,TANESCO,NSSF,NHIF, STAMICO lectures UDOM,UDSM wengine wakatupwa halmashauri huko.Vijana wenzio wanalipa nyumba kodi 250k,300k,500k wakati ww unalipa 50k lazima ushtuke na useme this life is not fucking mine i have to do something very hard.
Akili zikarud Nikarud chuo nikiwa na 27 yrs naanza first year kimyakimya Na kuacha harakati zangu zote even though mwaka wa kwanza ulikuwa tough sana kwangu kwenye swala la uchumi kula sana ukoko kummke.Nimemaliza shule Nimerudi mtaani watu niliwowaacha wako vile vile nothing changed, nimekaa week mbili tu kazi za kueleweka zikapatikana.
Kama kuna kijana unanisoma listen kama una nafasi ya kurudi chuo fanya haraka sana na kama una mawazo ya kuacha chuo usithubutu.Africa bado shule itabaki muhimu na ukichunguza wanaoponda elimu wao wamesoma na elimu zimewalipa.
Elimu imenilipa kwa sababu imebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa hata uhakika wa kula na kujihudumia hata kuwa na familia sahvi ninao 80 kgs kutoka 60kgs famchezo.
Maana yake,, alienda kitaa bila plan! hapo lazima ujute tu hakuna namna!Ndomana kasem alijuta hasa huko kufanikisha kunatoka wapi ndugu ?