Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Nitaeleza kifupi kwa mtindo wa maswali!
Kwa hali ya kawaida chimbuko la mapenzi hayo yanayosemwa kama yalikuwepo basi yatakuwa yameanza hivi!

Kuna uwezekano mke wa dogo alitafunwa, ndipo mama mchuu naye akaona ya nini kujibana akaona akamtunuku dogo! (Yamkini)
Kuna uwezekano mama mchuu aliona nyendo za baba mchuu anavyokula kondoo naye akaona ajitwalie mwana kondoo! (Yamkini)
Wanawake hawa niwaaminifu sana lakini kuna wakati mume ukizidisha umalaya unaweza kuwafanya nao wajione hawana thamani huingiwa na pepo la ngono kutoka mume mchepukaji! Bahati mbaya wenzetu hawa wakichepuka huenda wazimawazima! (Yamkini)

Baada hapo nini kinafuata!

Kuna uwezekano mtego uliwekwa watu wamfuatilie mama mchuu!
Halafu baba mchuu! Akazuga anasafiri.
Huenda dogo alibanwa vizuri watu wakafumua malinda na picha wakamchukua na mke akajisalimisha kwa mume kuahidi kuachana na dogo! Hivyo msongo wa mawazo dogo ukapelekea kujitundika (yamkini).

Au kuna uwezekano kuna watu walipewa kazi maalum na walipomaliza kuuwa, kwa kutokuwaza sawasawa huenda marehemu aliwapa password ya simu hivyo wakaingia kwenye akaunti ya dogo wakamwaga upupu ili kupoteza maboya! (Polisi wachunguze mwandiko wa dogo post za nyuma na post hiyo ya kumtaja Monica itazamwe imetumwa lini muda gani, simu ya dogo ilikutwa wapi n.k) Inaweza toa majibu (Yamkini).

Sifa ya Mtu anayeua mgoni huwa bado anamhitaji mke wake! Ili kuondoa tatizo na kujifariji huua mgoni wake kwanza kabla ya......(Yamkini).

Sifa nyingine ni good pretender ..anaweza zuga kusamehe, anaweza zuga hajaona chochote, anaweza zuga anauprndo mkubwa kumbe yajayo yanafurahisha na kuhudhunisha (Yamkini).

Sehemu pekee ya polisi kuchukua ujiko wa kiupelelezi ni katika tukio hili.

Kuunganisha dot hizi ....Mke wa dogo, simu, mama mchuu, baba mchuu, mawasiliano, tetesi kwa majirani na waumini, mipango ya safari ya bamchuu na siku ya tukio la dogo, eneo, simu ya dogo, mwandiko, muda wa post, mawasiliano ya dogo kabla ya tukio, mawasiliano ya mamchuu, mawasiliano ya bamchu, maoni ya mke wa dogo, majiran, waumin n.k !

Updates kamili!

Kwa mujibu wa Mange kimambi kunasauti ya mtu anaejiita mke wa marehem kwamba muwewe anaonekana alijaribu kujinyonga na tai ikakatika then akachukua shuka, kitu ambacho hakiafiki,

Pia anahoji kwanini simu ya mmewe iliformatiwa? Na anaendelea kupokea vitisho je kwanini mke wa marehem anapokea vitisho?
Vitisho vinafaida gani?

Inadaiwa pia mke wa mchu (moni) alilia sana siku mke wa marehem alipoolewa! Yeye alizani ni mahaba ya kiiman kutoka kwa mama mchu...wa kanisa kwa vijana wake! Kumbe yalikuwa mahaba mnyongee mmewe
...
 
Polisi hasa kwa matukio kama haya ya mauaji, watajua kila kitu, yaani ukweli utakaa hadharani
Kama siasa isipoingia jeshini!
Jeshi linawataalam wazuri sana! Shida pale taarifa ya kipolisi itatakiwa ihakikiwe na waziri au RC hapo ndo miyeyusho huanzia!
Ila polisi nawajua wako vizuri tu shida ni Amri
 
20221003_230158.jpg
 
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.

Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.

MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.

KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
JamiiForums-169957608.jpg
 
Hii picha inatafsiri nyingi sana! Ukitazama vidole vya mikono wanashilia kushea penzi moja pasipo kujua.
Na mkono wa kushoto mfukoni wanaashilia kila mtu ana ndoa yake anayomiliki!
Na kodole kingine cha dogo kimeelekea chini maana yake ataanza kwenda chin, vazi la masanja linaashilia.......
 
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Shida no 3
 
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.

Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.

MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.

KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.View attachment 2376570
Very poor assassination plot aisee! Polisi inakaaje kimya? Funga hilo kanisa,kamata masanja kwa mahojiano.
 
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Shida no 3
Kwamba huu ujumbe ulitumwa kwa mke wa mama mchungaji.... Ujumbe binafsi wa simu... Nani aliusambaza kwenye mitamdao ya kijamii???
 
Back
Top Bottom