Nitaeleza kifupi kwa mtindo wa maswali!
Kwa hali ya kawaida chimbuko la mapenzi hayo yanayosemwa kama yalikuwepo basi yatakuwa yameanza hivi!
Kuna uwezekano mke wa dogo alitafunwa, ndipo mama mchuu naye akaona ya nini kujibana akaona akamtunuku dogo! (Yamkini)
Kuna uwezekano mama mchuu aliona nyendo za baba mchuu anavyokula kondoo naye akaona ajitwalie mwana kondoo! (Yamkini)
Wanawake hawa niwaaminifu sana lakini kuna wakati mume ukizidisha umalaya unaweza kuwafanya nao wajione hawana thamani huingiwa na pepo la ngono kutoka mume mchepukaji! Bahati mbaya wenzetu hawa wakichepuka huenda wazimawazima! (Yamkini)
Baada hapo nini kinafuata!
Kuna uwezekano mtego uliwekwa watu wamfuatilie mama mchuu!
Halafu baba mchuu! Akazuga anasafiri.
Huenda dogo alibanwa vizuri watu wakafumua malinda na picha wakamchukua na mke akajisalimisha kwa mume kuahidi kuachana na dogo! Hivyo msongo wa mawazo dogo ukapelekea kujitundika (yamkini).
Au kuna uwezekano kuna watu walipewa kazi maalum na walipomaliza kuuwa, kwa kutokuwaza sawasawa huenda marehemu aliwapa password ya simu hivyo wakaingia kwenye akaunti ya dogo wakamwaga upupu ili kupoteza maboya! (Polisi wachunguze mwandiko wa dogo post za nyuma na post hiyo ya kumtaja Monica itazamwe imetumwa lini muda gani, simu ya dogo ilikutwa wapi n.k) Inaweza toa majibu (Yamkini).
Sifa ya Mtu anayeua mgoni huwa bado anamhitaji mke wake! Ili kuondoa tatizo na kujifariji huua mgoni wake kwanza kabla ya......(Yamkini).
Sifa nyingine ni good pretender ..anaweza zuga kusamehe, anaweza zuga hajaona chochote, anaweza zuga anauprndo mkubwa kumbe yajayo yanafurahisha na kuhudhunisha (Yamkini).
Sehemu pekee ya polisi kuchukua ujiko wa kiupelelezi ni katika tukio hili.
Kuunganisha dot hizi ....Mke wa dogo, simu, mama mchuu, baba mchuu, mawasiliano, tetesi kwa majirani na waumini, mipango ya safari ya bamchuu na siku ya tukio la dogo, eneo, simu ya dogo, mwandiko, muda wa post, mawasiliano ya dogo kabla ya tukio, mawasiliano ya mamchuu, mawasiliano ya bamchu, maoni ya mke wa dogo, majiran, waumin n.k !
Kizazi hiki kinapokosea ni hapo pa kujidanganya kuwa wanawake wametulia KULIKO wanaume.
Mnajidanganya sana na ndio MAANA wanawake wanazidi kuchanja mbuga kuwachanganya wanaume mpaka marafiki Wa karibu.
Kwa wanaume wenye uwezo Wa kuhimili wanawake wengi ni wachache sana.
Pili wanaume Siku hizi wanahongwa na wanawake kweni wanawake ndio wanye uchumi mana anaweza akauchukua Kwa mwenye pesa akaupeleka Kwa Mchepuko wake mwengine.
Lakini hayo ya kusema kuwa wanawake wametulia yanasambazwa na makahaba na wanaume wachache wanaotumia mwanya Huo kuwalaghai wanawake na kujihalalishia mbinu zao za uzinzi.
Wanaume wasio na michepuko ni wengi KULIKO wanawake wasio na michepuko.
Tabia za wanawake wazinifu zilielezwa kiufasaha kwenye Vitabu vya dini.
Wanawake walitoka barabarani wanajiremba na kubinua matako KULIKO wakiwa na waume zao Nyumbani . Hizo ni tabia za wanawake asilimia kubwa kujirembua Kwa wanaume Wa nje. Na Wanapokutana na wale wanaume wachache wenye tabia za uzinifu basi wanafikiri ni Wanaume wote Wana tabia hizo Kumbe tabia zao za kujiweka kwenye mandharí ya kujiuza zinawafanya wanaume Malaya kuwatafuta Kwa namna yoyote. Hili limejidhihirisha wazi Kwa MKE Wa Masanja.
Na WENGINE wengi tabia za wanawake Wa leo azihitaji sayansi ya kwenda Mars kutambua kuwa Wana kiu kupitiliza Kwa SABABU wanapenda starehe sana. Wanaume wengi Wana Maisha magumu na wanapata kipato Kwa kuumia sana hivyo Hata muda Wa starehe unakua mdogo.
Wanawake wana Mambo MENGI ya kianasa TIFAUTI na wanaume.
Mwanamke muda wote anawaza kujirembua na kipendeza Ili akipita awachanganye wanaume awe ameolewa au hanaolewa. TOFAUTI na wanaume ambao wanawaza kwanza Maisha na michongo ya pesa. Sasa Kwa Nchi yenye maskini 80% huwezi upata Hata wanaume 50% wachepukaji. Wanawake wengi wanapenda starehe hivyo HAWAWEZI kuchepuka na wanaume maskini ambao ni 80% .Sasa Hapo ni kwamba 80 % ya wanawake wanachepuka na 20% ya Wanaume Lakini pia wakishapata kwenye hiyo asilimia 80% wanakwenda kuchepuka na ile 20% Kwa kuhonga wao. Kwa wanaume 20% tu Ndiyo wenye uhakika Wa kuchepuka na uwezo Wa kugharamika uchepukaji.
Bosi mmoja MWANAUME Ofisini mwenye pesa na madaraka anaweza akachepuka na wanawake wote wanaofanya KAZI kwenye ofisi hiyo.
Kwa maana kwamba MWANAUME mmoja anasababisha wanawake 20 kusaliti Ndoa Zao
Sasa wanapojifariji wanaume ni pale wanapoona kuwa Bosi mmoja mwanamke Hana mvuto Wa kutembea na wafanyakazi 20 kwenye ofisi hiyo. Sio Kwa SABABU hataki kutembea nao lakini anaona aibu kujulikana mana wanaume wanatabia ya kusimulia wanapotembea na Mwanamke Fulani punde akipita mbele zao ila wanawake Hata Mbingu ipasuke hawezi kusema kuwa yule maume nimetembea Naye hasa akiwa ni MKE Wa MTU . Atasema tu Hawa wanaume hawajatulia hapo ndio Unajua kuna kitu tayari.
Tukirudi Kwa Masanja suala Hilo liko wazi kabisa Hata ukimwangalia Yule mwanamke na uvaaji wake na the way anavyosomeka usoni akiwa anapiga picha na Masanja utagundua kuwa ni Msaliti anayeaminika.
Suala kifo Cha Katibu lichunguze ndio lakni litavuruga zaidi Ndoa ya Masanja mana ukweli Utakua umewekwa wazi zaidi. Mana watapata mpaka msg na simu walizokua wanapigiania wakati wakiwa na mahusiano. Kama Walikua wanamtukana Masanja basi itabainika Kwa wazi zaidi.
MTU amekufa ni lazima ile simu ilidobdokea Mikononi mwa MKE halali Wa Katibu na huenda ndio ameonyesha watu.
Kuna ishu moja ilitokea MWANAUME akalazwa hospitalini Wakati Wa Oparation mwanamke akachukua simu.
Kitu Cha kwanza alikimbilia kuipekua ;allikuta msg mpaka zinazoonyesha kuwa mume wake alikua ana Mwanamke waliyekua Wanatembea kinyume na maumbile. Mwanamke akawa anafoko kuwa ni bora huyo MWANAUME afe tu wala asipone.
Suala lililopo Hapo Kwa Masanja inaonekana kuwa mwanamke alikua anamhonga Yule Katibu pesa ili asije Akawaambiwa watu ikajulikana. Sasa kijana alipooa ikawa ni tabu mana kujulikana ingekua ni rahisi mana wanaume ni wajinga kwenye kucheat TOFAUTI na wanawake anaweza akawapanga Foleni na wanaume wasijuane.
Ingekua ni rahisi Kwa MKE Wa Katibu kujua na kuliwashia Kwa watu.
Sasa Hali ikawa ni mbaya Kwa Katibu kwani amezoea mapenzi ya kulipwa na hadaiwe Hela ya saluni. Sasa anajikuta ana Mwanamke, majukumu yananza,Kabla ya tendo la Ndoa anaambiwa baby Nataka kwenda saluni.Mara oooh, Kuna Mchango nadaiwa, mara hereni ya dhahabu.
Sasa kijana alizoea bwerere hawezi kuwajibika kwenye ndoa.
Wanawake waliopo kwenye ndoa wanawaharibu Vijana maskini na kuvuruga ndoa nyingi.