Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

Unamjua vizur disiai wa Sasa ni nani? Usitarajie makubwa kiivyo, hiyo issue ndio ishaishia hapo
 
Haya hayawezi kuwa maandishi ya marehemu. Kutoa uhai wa mtu ni jambo gumu sana na linachukua muda mrefu endapo tu itaonekana ni mhanga ana madhara. Hizi sauti zinamlilia Katibu zinahitaji haki ili marehemu alale.
 
Mange Kimambi again
 
Kwanini wanafunika huo upelelezi kwa nguvu zote hizo?
Huyo ni property ya CCM, ni mtu muhimu kwao katika propaganda zao mbalimbali.
Yuko tayari kutumika kuchekesha hata pale watanzania wenzake wanaumia au kugugumia maumivu mradi mkono wake na Monica uende kinywani. Wanamlinda hata kwa damu ya katibu ili waendelee kumtumia kwenye propaganda zao

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…