Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

All in all....inasikitisha sana watu wanalichukulia jambo hili kijuu juu, kwamba amejiua kwa sababu ya mapenzi basi tuache, lakini pamoja na hayo ofisi ya dci/polisi kwa nini wasichunguze?

Kuna uhakika gani kwamba jamaa alijiua, mwandiko wa kwenye karatasi ni wake? vipi kuhusu alama za vidole kwenye karatasi ni zake? Kwa nini polisi wasifanye forensic investigation?

Kuliwa mke inauma,.....si rahisi mla mke wa mtu ajiue kizembe namna hii, something is not adding up. Mwenye mke na mkewe wahojiwe. it could be a revenge murder
Unamjua vizur disiai wa Sasa ni nani? Usitarajie makubwa kiivyo, hiyo issue ndio ishaishia hapo
 
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.

Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.

MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.

KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.View attachment 2376570
Haya hayawezi kuwa maandishi ya marehemu. Kutoa uhai wa mtu ni jambo gumu sana na linachukua muda mrefu endapo tu itaonekana ni mhanga ana madhara. Hizi sauti zinamlilia Katibu zinahitaji haki ili marehemu alale.
 
Nitaeleza kifupi kwa mtindo wa maswali!
Kwa hali ya kawaida chimbuko la mapenzi hayo yanayosemwa kama yalikuwepo basi yatakuwa yameanza hivi!

Kuna uwezekano mke wa dogo alitafunwa, ndipo mama mchuu naye akaona ya nini kujibana akaona akamtunuku dogo! (Yamkini)
Kuna uwezekano mama mchuu aliona nyendo za baba mchuu anavyokula kondoo naye akaona ajitwalie mwana kondoo! (Yamkini)
Wanawake hawa niwaaminifu sana lakini kuna wakati mume ukizidisha umalaya unaweza kuwafanya nao wajione hawana thamani huingiwa na pepo la ngono kutoka mume mchepukaji! Bahati mbaya wenzetu hawa wakichepuka huenda wazimawazima! (Yamkini)

Baada hapo nini kinafuata!

Kuna uwezekano mtego uliwekwa watu wamfuatilie mama mchuu!
Halafu baba mchuu! Akazuga anasafiri.
Huenda dogo alibanwa vizuri watu wakafumua malinda na picha wakamchukua na mke akajisalimisha kwa mume kuahidi kuachana na dogo! Hivyo msongo wa mawazo dogo ukapelekea kujitundika (yamkini).

Au kuna uwezekano kuna watu walipewa kazi maalum na walipomaliza kuuwa, kwa kutokuwaza sawasawa huenda marehemu aliwapa password ya simu hivyo wakaingia kwenye akaunti ya dogo wakamwaga upupu ili kupoteza maboya! (Polisi wachunguze mwandiko wa dogo post za nyuma na post hiyo ya kumtaja Monica itazamwe imetumwa lini muda gani, simu ya dogo ilikutwa wapi n.k) Inaweza toa majibu (Yamkini).

Sifa ya Mtu anayeua mgoni huwa bado anamhitaji mke wake! Ili kuondoa tatizo na kujifariji huua mgoni wake kwanza kabla ya......(Yamkini).

Sifa nyingine ni good pretender ..anaweza zuga kusamehe, anaweza zuga hajaona chochote, anaweza zuga anauprndo mkubwa kumbe yajayo yanafurahisha na kuhudhunisha (Yamkini).

Sehemu pekee ya polisi kuchukua ujiko wa kiupelelezi ni katika tukio hili.

Kuunganisha dot hizi ....Mke wa dogo, simu, mama mchuu, baba mchuu, mawasiliano, tetesi kwa majirani na waumini, mipango ya safari ya bamchuu na siku ya tukio la dogo, eneo, simu ya dogo, mwandiko, muda wa post, mawasiliano ya dogo kabla ya tukio, mawasiliano ya mamchuu, mawasiliano ya bamchu, maoni ya mke wa dogo, majiran, waumin n.k !

Updates kamili!

Kwa mujibu wa Mange kimambi kunasauti ya mtu anaejiita mke wa marehem kwamba muwewe anaonekana alijaribu kujinyonga na tai ikakatika then akachukua shuka, kitu ambacho hakiafiki,

Pia anahoji kwanini simu ya mmewe iliformatiwa? Na anaendelea kupokea vitisho je kwanini mke wa marehem anapokea vitisho?
Vitisho vinafaida gani?

Inadaiwa pia mke wa mchu (moni) alilia sana siku mke wa marehem alipoolewa! Yeye alizani ni mahaba ya kiiman kutoka kwa mama mchu...wa kanisa kwa vijana wake! Kumbe yalikuwa mahaba mnyongee mmewe
...
Mange Kimambi again
 
Kwanini wanafunika huo upelelezi kwa nguvu zote hizo?
Huyo ni property ya CCM, ni mtu muhimu kwao katika propaganda zao mbalimbali.
Yuko tayari kutumika kuchekesha hata pale watanzania wenzake wanaumia au kugugumia maumivu mradi mkono wake na Monica uende kinywani. Wanamlinda hata kwa damu ya katibu ili waendelee kumtumia kwenye propaganda zao

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom