Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

hili lipo wazi kabisa
bwana mkandamizaji Anahusika
kwann alichukua muda mfupi kumsamehe mkewe?
dogolasi aliandika barua muda gani kabla hajauwawa?
ulishaona wapi mtu mwenye mke ajiue kwa mchepuko?
maswali ni mengiiiii
 
...Pia majirani wanathibitisha mke wa masanja alikuwa anaenda Mara kadhaa asubuhi nyumbani kwa marehemu wakati mkewe marehemu yupo kazini..
ohhhh?
hivi na yule aliyemchoma moto mkewe na kuzika majivu kule kigamboni, bwana jumanne kesi yake ilifikia wapii?
jamaa alikuwa anachukulia masihara sana mara anapigana na wandishi, mara nataka line zangu (vielelezo)
wakaanza kumtia pingu miguuni
 
Kwahiyo Ukiliwa mke wako Polisi hawahusiki kwenye Uchunguzi? Ila Ukiwaonyesha Polisi kwamba Wananilia Mke wangu Ndipo Unataka Uchunguzi..

Wewe Mtoa mada Subiri Zamu Yako Tu Itafika.... Inawezekana na Wewe una Tabia za Katibu
Vipi kama vile yalishakukutaga?
 
Hahahah halafu umtaje na jina
Hii ni Kama ile press ya Makonda na Baba yake.
Baba alikuwa anamtaja Bashite kwa kusema

"Mwanangu Paul Makonda" ili ku set mitambi kuwa mwanaye anaitwa Paul Makonda na si Daud Albert Bashite.

Planed scene
 
ohhhh?
hivi na yule aliyemchoma moto mkewe na kuzika majivu kule kigamboni, bwana jumanne kesi yake ilifikia wapii?
jamaa alikuwa anachukulia masihara sana mara anapigana na wandishi, mara nataka line zangu (vielelezo)
wakaanza kumtia pingu miguuni
Nikumbushe kesho nitakuletea Uzi wake
 
Hao polisi wa kufanya hayo yote unawatoa wapi?Tanzania hii hii?watakuwa wamepewa nini?

Hilo lingewezekana kama huyo marehemu angekuwa ana ndugu wa ku-push jambo liende sawa kama maskini wataishia kusema tu ni kazi ya Mungu wanalia lia siku mbili wanamsahau.polisi wakibustiwa ndo huchangamka tofauti na hivyo wanafunga hesabu mapema maisha yanaendelea.
 
Mkuu unaelewa maana ya assassination?
Assassination is the murder of a prominent or important person,[1] such as a head of state, head of government,politician, world leaders, member of aroyal family, CEO, or any leaders in charge. The murder of a celebrity,activist, or artist, though they may not have a direct role in matters of the state, will sometimes be considered an assassination. An assassination may be prompted by political and militarymotives, or done for financial gain, toavenge a grievance, from a desire to acquire fame or notoriety, or because of a military, security, insurgent or secret police group's command to carry out the assassination. Acts of assassination have been performed since ancient times. A person who carried out an assassination is called an assassin orhitman.
 
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE
Shida no 1
...ujumbe wa mwisho...maana yake walikuwa wanatumiana ujumbe mara kwa mara(mawasoliano)
 
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.
Shida no 2
...your love..your time...maana yake tayari walishakuwa kwenye Mapenzi kwa muda mrefu....
 
...ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza....aisee...
 
Very poor assassination plot aisee! Polisi inakaaje kimya? Funga hilo kanisa,kamata masanja kwa mahojiano.
Tamaa ya hela kwa waafrika unaachaje kuisema
Dogo amepandikiziwa kila aina ya uongo I guess [emoji1745]
Haiwezekani tunahukumu kesi na wenye mamlaka wametoa majibu mepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…