Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Angeua vipi?..Hata mim nakubali masanja asingeua kishamba hivyo. Ila kwa sababu hili Jambo linauaiaha uhai wa mtu ni muhimu polisi watoe maekezo
Mfano tu kama alitaka ajue ulimwengu ujue ukitembe na mke wake lazima upoteze uhai.. lakini pia kwa tukio hilo kumziba mke wake mdomo kama alitaka kulalamika vile jamaa alivyokuwa mchepukaji mzuri.. n.k what If kwenye kama jamaa aliuwawa walitumia finga print kuingia kwenye simu yake na kisha kupost hayo maneno..
Yani dhakira ya mtu kujiua na kupost mitandao ya jamii ni ipi??..
1.ukizingatia alikuwa anatembea na mke wa mtu..
2.Kama ni kweli alimpenda Monica asingejiua na kumuanika hadharani iliamuharibie kwa mumewe na duniani.. kiukweli jwenye hili swala la Katibu kuna uwalakini..
Mimi binafsi kuna pastor aliwahizinguana na mwanangu akaniambia kwa namna mwanangu anataka kumchafua.. na yeye kapambana miaka mingi kukusanya makondoo mpaka kuanza kula asali anaweza kumsingizia hata kesi ya madawa.. yani ayaweke nyumbani kwa jamaa polisi wayakute [emoji23] [emoji23]
Sasa nyie sikieni tu kwa watu kugongewa.. tena mke ni jambo ambalo sio kila mwanaume anaweza especially ugundue alietenda ni mtu wa karibu ambae anajua ni kwa kiasi gani huyo mwanamke anaumuhimu kwako yani unaweza ua kiukweli kama unako na low "Emotional Intelligence " inaumizaga moyo kama vile umichomwa na kisu chenye ncha kali
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app