Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

KADA ACHUNGUZWAGI..... ANGEKUWA NI WA UPANDE WA PILI UNGEONA HADI DNA INVESTIGATION [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
...Pia majirani wanathibitisha mke wa masanja alikuwa anaenda Mara kadhaa asubuhi nyumbani kwa marehemu wakati mkewe marehemu yupo kazini..
muda wa kutoka wangetutajia ingekua poa kwani eneo lako la kukutana ni kanisani nyumbani ugonjwa
 
Sio rahisi kihivyo
Hajui kwamba wasap sikuhizi ndo habari ya mjini (telegram)

Ila nirahisi Sana endapo walikua wanatumia sms kawaida au kupigiana hovyohovyo simuzao kwani polisi na watumishi makampuni ya mitandao ni hovyo kabisa bongo hapa hurikisha taarifa bila hata kutazama atharizake ....kisa hongo wanazotuzwa na wahusika
 
Hii inaonekana ni clear assasination. Na waliofanya sio proffesional. Walipataje password? Hapo ni kutia ndani huyo mchungaji wa mchongo pamoja na mke wake. Siku mbili ni nyingi ukweli wote utajulikana.
Kweli wakipelekwa kwenye base zenu kule watasema tu
 

Halafu kamanda mzoefu na Kachero kama Muliro anasema eti katibu alikuwa hajala mzigo bali anaomba?
Hapo hakuna kujiuliza mara mbili juu ya hilo, huyo alikuwa mtu wake.
YOUR TIME AND YOUR MOMENT?
alimaanisha nini kama sio past tense?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Huko kwa Mange kasika Mke wa katibu anaomba ulinzi, ansema simu yake na mmewe walifuta kila kitu polisi! Sasa kwanini waformat simu?
 
Ni kama Masanja keshamalizwa na hii kashfa atajifaragua kwa muda lakini tayari uharibifu wa taswira yake umeshaingia doa kubwa
 
Hilo linawezekana Sana TZ kilakitu kinawezekana.😁😁😁😁😁
 
Ni kama Masanja keshamalizwa na hii kashfa atajifaragua kwa muda lakini tayari uharibifu wa taswira yake umeshaingia doa kubwa
Tafuta Ile video masanja akiongea kanisani kwake baada ya kutoka state... tizama body language ya mama mchungaji (alikua akiforce tabasamu)... Tizama movement ya mdomo wa masanja..(Imejaa hasira, uoga na uongo) tizama idadi ya waumini..(imepungua na wamekosa imani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…