Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Status
Not open for further replies.

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
  1. Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
  2. Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
  3. Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
  4. Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
  5. Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
  6. Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
  7. Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Natoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.

Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.

Nawasilisha.
 
Hata Mimi hatoki salama
Si wasubilie yanini kulazimisha as if wanalipa fedha kumbe kupata fedheha

Makonda anawatafutia Madaktari wa Kiume wa Upimaji Tezi Dume ' Vifo ' vya lazima hakyanani Mkuu. Yaani nawatamani kweli waje hata leo ili nizikumbuke kidogo ' styles ' za Kimapigano za Hayati Bruce Lee.
 
Kwanza huo muda wa kuwapa ushirikiano nitautoa wapi hata wakipima Tanzania nzima.


Nasema kama kwenye Sensa miaka yote toka nazaliwa hamjanipata nyumbani ije kuwa kwenye Tezi dume.

Nadhani hiyo Wiki ambayo wataanza ' screening ' yao ya Tezi Dume uuzwaji wa ' Majeneza ' utaongezeka maradufu kwani nina uhakika Madaktari wengi wa Tezi Dume wa Makonda watatangulia mbele za haki ' fasta '. Hivi unaanzaje Kwanza kumfanyia ' Upuuzi ' wote huo GENTAMYCINE?
 
Mficha uchi hazai
 
Nadhani wakiona watu hawajitokezi wataanza kujifanya wanatumia sindano ya kukuchoma kwenye kichwa ili wapate sababu ya kukupa nusu kaputi usinzie vizuri waanze kuzichezea kende watakavyo ...sipati picha mwanamume awe shoga alafu anashikwashikwa sijui itakuaje
 
Mkuu Genta, kuna hatua muhimu umeiruka hapo

Itaje tafadhali kwani baada ya kumsikia Daktari mmoja akinielezea hizo hatua Kuu Saba ( 7 ) tajwa hapo juu kiukweli nimekasirika na nimechukia hata kabla hao Madaktari wa Tezi Dume wa Makonda hawajanigongea hodi. Yaani nawatamani kweli ili nitoe mfano bora na siku zingine waache ' viherehere ' na kutanguliwa katika hatari isiyo ya lazima.
 
Aisee kama mambo yenyewe ndo hayo ya kushikana ududu amenoa ntaua mtu asee.

Na kilichoniudhi na kunishtua zaidi Mkuu nimeambiwa kuwa 99.9% ya Madaktari wa Tezi Dume nchini Tanzania ni Wanaume watupu na kwamba Wanawake nchi nzima wako Watatu tu mmoja Nanjilinji mwingine Tandahimba na wa mwisho Kyaka Nkunde na kwamba ambao wako Mkoa wa Dar es Salaam ambako zoezi litaanzia wote ( 100% ) ni Wanaume. Nadhani sasa unaweza ukaona jinsi tatizo litakavyokuwa na jinsi watakavyokuwa na wakati mgumu hasa kwa Sisi Wanaume wa Bara tena wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Wanamume wa ' Shoka '.
 
Ongezea: Watapaka tundu la mbolea mafuta.. K-Y jelly
Daktari atakupiga nyuma kidole cha shahada chenye gloves huku akikizungusha huko ndani. Atapapasa kuta zote za mk..nd.

Na hapo sasa ndipo nitapelekwa ' Fasta ' katika Gereza langu kutumikia Kifungo changu cha Maisha kwa ' Kumdedisha ' Mtu.
 
Kwa kweli namna ya kupima tezi dume huwa inakatisha tamaa sana. Ingawa ndugu yangu GENTAMYCINE umeongezea chumvi kidogo, lakini kile kitendo cha kuingiziwa kidole cha kati ndani ya njia ya haja kubwa wakati wa kupimwa tezi dume kinafedhehesha sana tena sana.

Mimi sitakaa nije kupimwa tezi dume. Namwomba sana MUNGU BABA aniepushe na gonjwa hili lenye kufedhehesha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…