Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Status
Not open for further replies.
Kama ndiyo hivi kweli hii ni kutaka kufanyana tuwe makhanithi! Haikubaliki
Hivi ni kweli mkuu (na una uhakika) kwamba Unaweza kuwa KHANITHI kwa kuingizwa kidole kwa dakika/sekunde chache?!! Mbona "gogo" linapita hapo kila siku tangu uzaliwe na hadi leo bado hujawa khanithi? "Gogo" ni nene kuliko kidole na kama ulisha pata shida ya kupata haja kubwa(Constipation) yumkini ulijaribu kutumia kidole chako mwenyewe kuji........ badala ya kijiti.
 
Huko ndio Dar yenu na masaibu yenu... tehteehhh
 
Uzuri ni kwamba Makonda atakuwa mtu wa kwanza kupimwa huku anarekodiwa na camera za wasafi tiviii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom