Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali hiyo wanaume wa dar hawatakuwa na marinda tena
Kwaio inawezekana mtu asipoficha uchi anazaaa? Nimekumanya vema mkuuMficha uchi hazai
Mhuuu shughuli ipoNatoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.
- Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
- Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
- Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
- Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
- Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
- Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
- Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.
Nawasilisha.
Hii ni njia ya kuhadaa wengi ili wajeAnyways ...naunga mkono juhudi za Makonda. Tumeambiwa kipimo ni cha damu.
Tuungane na mkuu wa mkoa kwenye hili
Hata Mimi hatoki salama
Si wasubilie yanini kulazimisha as if wanalipa fedha kumbe kupata fedheha
Bro; Hapo umesema kweli. Hebu nami nichangie hivi: Ukiugua "Tezi dume". (Angalizo: Ujue kwanza utaziba mkojo). Kwa hakika utajipeleka ww mwenyewe kwa miguu yako au utaomba bodaboda na ukufika theatre tu, cha kwanza bila hiyari, utawaomba kwa unyenyekevu mkubwa wafanye haraka kukunusuru. Acha mchezo. Ujeuri na Majigambo hapo huwaga yanaishaga mzee. Umwombe Mungu akuepushie hilo au usipite mapito hayo. Na bado utavalishwa catheter(Mpira) kupitia tundu lile la kupitishia mkojo na utakomaa nao kwa wiki mbili au zaidi.😱Ama utoe ushirikiano au ufe.....tezi dume sio ya kuchezea.....choice is yours.
Hapana Mkuu. Punguza hasira. Wanafanya hivyo kwa nia njema na wala sio kukuenjoy au kukufedhehesha. Pia uzingatie yote hufanyika faraghani na ni siri kati yako na daktari anayekupima. Vipimo kama PSA havipo hospitali zote mwanangu. Jipe moyo na punguza Over-sex. "Mtutu wa bunduki" utakuwa umeubeba ww mwenyewe i.e. maumivu utakayokuwa unayapata kwa hakika yatakufanya uharakishe, tena kwa mwendo kasi, kwenda Hospitali iliyokaribu na ww. Ukiniambia kwamba unatoa tahadhari kwa watumiaji wa barabara na vinjia vingine wakupishe njiani usijekuwagonga ningekuelewa vizuri zaidi.Daahhh ni ngumu, labda kwa mtutu wa bundukiView attachment 753610