Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Status
Not open for further replies.
Hii tezi Dume ingekuwa inakaguliwa na madaktari wa kike inakuwa poa tu kuliko mwanaume mwenzio inaleta ukakasi sana.
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Msijali daktari mwanamke nitakuwepo, wale wasiotaka kupimwa na wanaume watakuja kwangu niwafanyie vitu hivyo saba hapo juu,

Hahahaha kama nawaona vile mnavyoinama.

Halafu mbona upimaji wa kansa ya titi wanawake sio wabishi kuchezewa matiti yao?? nyie wanaume mna nini kwenye makalio yenu?
 
Kwa kweli namna ya kupima tezi dume huwa inakatisha tamaa sana. Ingawa ndugu yangu GENTAMYCINE umeongezea chumvi kidogo, lakini kile kitendo cha kuingiziwa kidole cha kati ndani ya njia ya haja kubwa wakati wa kupimwa tezi dume kinafedhehesha sana tena sana.

Mimi sitakaa nije kupimwa tezi dume. Namwomba sana MUNGU BABA aniepushe na gonjwa hili lenye kufedhehesha.
Hahahahaha wanapaka mafuta wakati wanaingiza hicho kidole cha kati au kavu kavu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo kitu iiishie huko huko Kwa wanaume wa daar maaaana sisi wa mikoani hatuwezi kupepesa macho tunamtoboa mtu macho hivi hivi mbele Ya mkuu wenu wa mkoa huyo ambae anapambana na wanaume wa dar yani pumbafu kabisa wanaume wa dar yani Mara mnaogopa nyoka, Mara mnatishiwa na mafuriko, Mara wanaojiiita panya road Mara mnatishiwa na mwanaume mwenzenu eti msilale mchana hivi nyie wanaume wa daar ni hizo chpsi mayai zinawalemaza au ni hayo Magari Ya nwendokasi? Chezi kabisa nyie achana na hayo machips kula dona muone Kama huyo makonda atawatisha na hao watu wasiojulikana. Na mmmmpe salamu huyo makonda kuwa tukiamua wa huku mikoani tutamjia huko huko dar tumpe kibano hadi atamke jina lake halis
 
Msijali daktari mwanamke nitakuwepo, wale wasiotaka kupimwa na wanaume watakuja kwangu niwafanyie vitu hivyo saba hapo juu,

Hahahaha kama nawaona vile mnavyoinama.

Halafu mbona upimaji wa kansa ya titi wanawake sio wabishi kuchezewa matiti yao?? nyie wanaume mna nini kwenye makalio yenu?
huko sio pa kuguswaguswa hovyo hovyo paliwekwa kupitisha taka mwili sasa wewe upakwe ky na lijidole kama hili eti unapimwa uvimbe...!
IMG-20180422-WA0025.jpg
 
Sasa Mkuu kupitishiwa Kidole cha Kati kunako ' Unyabeni / Haja Kubwa ' na Mwanaume mwenzako ni halali kweli? Nadhani Makonda asubirie Kwanza Madaktari wengi wawe ni wa Kike ndipo tufanyiwe hii ' screening ' yake vinginevyo ' Sanda ' za Marehemu zitauzika mno hiyo Wiki hakyanani!
Kwa hiyo daktari mwanamke akikupenyezea kidole cha kati haina shida.... hahahaha guys hebu zioneeni huruma mbavu zangu uwiiii
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] namba 4.
 
Sasa nauliza kama sijui usimamishe sijui nini, na ndugu zetu mashoga nao itakuwaje katika upimwaji wao??

Halafu naona watakua wengi sana wakigombea kupimwa.
LoL
 
  1. Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
  2. Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
  3. Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
  4. Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
  5. Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
  6. Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
  7. Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Natoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.

Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.

Nawasilisha.
Nimebonyeza kitufe cha ''report'' kwa sababu umeandika upotoshaji. Huu upotoshaji utafanya watu wengi waogope kwenda hospital wanahisi wana tatizo la tezi dume.
 
Ni kipimo tu kaka

Kuingiziwa ' Ndole ' kunako ' Unyabeni / Unyeroni ' ndiyo kupimana huko Dada? Je Daktari ' mpimaji ' akikosea akapima kisha akavutiwa na Nyabe / Nyero la Mwanaume kisha nae akaamua kuchomeka na Mkuyenge wake kutakuwa na usalama tena hapo?

ANGALIZO

Waandaliwe upesi Madaktari wa Kike tena wawe wazuri kimwonekano ndiyo waje watufanyie hiyo ' Screening ' yao lakini kama watang'ang'ania kutuletea hao Madaktari wa Kiume kuna uwezekano ongezeko la Wamama ' Wajane ' nchini Tanzania na hasa Mkoa wa Dar es Salaam ukawa ni mkubwa kwani Waume zao wengi tutawapa tiketi za haraka sana kwenda Kupumzika ' Kaburini ' huku nasi tukienda kuanza makazi yetu mapya ' Segadansi / Segerea '.
 
  1. Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
  2. Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
  3. Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
  4. Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
  5. Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
  6. Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
  7. Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Natoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.

Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.

Nawasilisha.
Unakaa mtaa gani tuanzie uko
 
Sipati picha mheshimiwa mbowe akiwa anapitia hizo hatua za upimaji, wanachama itabidi tulipambe sana hili zoezi au makamanda mnasemaje
 
Makonda anawatafutia Madaktari wa Kiume wa Upimaji Tezi Dume ' Vifo ' vya lazima hakyanani Mkuu. Yaani nawatamani kweli waje hata leo ili nizikumbuke kidogo ' styles ' za Kimapigano za Hayati Bruce Lee.
Hata sie wakike tupo kwenye semina mkuu wewe jiandae tu mkuu nikupime mimi mwenyewe sikuumizi taratibuuu
 
  1. Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
  2. Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
  3. Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
  4. Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
  5. Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
  6. Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
  7. Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Natoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.

Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.

Nawasilisha.
Hahaaaaa potiiii [emoji16][emoji16]
 
Kwahiyo hata yule baunsa wa Diamond nae atainamishwa apimwe tezi?

Tena na kadokta kadooogo tu hivi kimbaumbau?

Na hizi kamera za smartphones zitawaacha salama kweli?
 
Hahahahaha wanapaka mafuta wakati wanaingiza hicho kidole cha kati au kavu kavu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sehemu nyingi za Haja Kubwa za Wanaume wengi huwa ni ngumu ngumu na kavu kavu hivyo ili kuleta ushirikiano uliotukuka baina ya Vidole vya Madaktari na Minyero / Minyabe ya Kiume nadhani itabidi ' Wese / Futa ' lihusike kwa sana tu. Ila sijui na yale ' Mapori ' yetu Tengefu ya Ihefu yanayokuweko huko itakuwaje Mkuu kwani huko huwa yanastawi mno.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom