Mateo Kovasic
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 420
- 334
Pascal hii nimeipenda “political vision +focus+target”
Ungeongeza na “strategies “
Ungeongeza na “strategies “
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P umeandika sana ila juankama kukiwa na KATIBA mpya huru na tume ya uchaguzi huru mbona kila kitu kitaeaka mbelekwa mbela!Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets.
Moja ya matatizo makubwa ya siasa zetu ni ukosefu wa clear vision, na hii sio kwa opposition tuu pekee wa Tanzania, hata chama tawala na serikali yetu nayo sometimes inakosa vision ndio maana Tanzania kama nchi tunashindwa kuwa na clear vision na hivyo kushindwa kupanga vipaumbele vyetu. https://www.jamiiforums.com/threads...-aibu-na-hatari-kupikia-kuni-na-mkaa.1966529/
Hivyo tukija kwenye siasa zetu ndio kabisa!, besides siasa za figisu, sheria mbovu za uchaguzi, Tume isiyo Shirikishi ya Uchaguzi na ushindani usio sawa kwenye uwanja tenge, lack of focus ni tatizo kubwa zaidi kwenye siasa zetu kuliko matatizo hayo mengine yote.
Mikutano ya siasa imeruhusiwa, Samia atabadili sheria za uchaguzi, ataruhusu hadi wagombea binafsi, atarekebisha Tume ya Uchaguzi kwa kuunda Tume Huru na Shirikishi, ataleta katiba mpya, lakini bado ni CCM ndio itaendelea kushinda na kutawala Tanzania, kwa kipindi kirefu kijacho and probably milele.
Kwasababu bado hatuna any serious and credible opposition to checks out CCM!. Watu wanamatumaini sana na Chadema, lakini amini usiamini, Chadema kwa hivi ilivyo, ni hakuna kitu pale!, labda ibadilike, kule juu iingie mijitu bold kama Heche. https://www.jamiiforums.com/threads...us-credible-mature-enough-opposition.1249668/
Nimesema hatuna any serious and credible opposition kwasababu upinzani uliopo ni myopic, una short distance vision ya siasa za leo, hawana good vision ya kuona mbali kuwa wanataka nini kesho, wanakwenda wapi na watafikaje, hivyo kukosa a clear vision of its target, na kukosa clear focus hivyo kushindwa ku focus and eventually end up missing the target. https://www.jamiiforums.com/threads...he-target-adui-mkubwa-sio-ccm-bali-ni.310532/
Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili https://www.jamiiforums.com/threads...za-nchi-hii-ngumu-sana.2057792/#post-45011402 toka kwa hoja ya mwana JF huyu
Naunga mkono hoja, kweli Chadema ni moto wa kuotea mbali, tatizo lake haijajipanga na haijipangi. https://www.jamiiforums.com/threads...angi-na-hamtajipanga-2015-ni-ccm-tena.624364/ Forget about 2025, the time is too little too late. The focus should be 2030.
Politics is a science of politics, political science, therefore it follows scientific theories and proofs, hivyo kwa political dynamics ya siasa zetu, kwa sasa hapa tulipo hadi 2025, bado hatuna chama chochote kingine cha siasa cha kuitikisha CCM kwenye urais.
Kwa vile uchaguzi Mkuu mwingine ni 2025, baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, naona vyama uchwala vinakurupuka kwa mikutano ya hadhara to focus on uchaguzi wa 2025 only, that is lack of clear focus na clear vision, hivyo they are myopic.
2025 is a bit too close, too near, hivyo vyama vina too little time too late to do a worthwhile thing!. The focus kwenye urais should be 2030!. 2025 they should focus on ubunge only.
Nimeona Chadema wanakwenda kuanzia Kanda ya Ziwa, hii ni Kanda determinant ya nani anakuwa rais wa Tanzania, hivyo chaguo la JPM kuwa mgombea wa CCM ile 2015 was not bahati nasibu na wala sio JPM aliingia kwa ku beep!. It was a premeditated move na ni mimi niliisema humu ile 2014.
Kwa vile JPM alitoka Kanda ya Ziwa, then PM kutoka pengine popote was possible, lakini kwa 2025, kwa vile rais sio kutokea Kanda determinant ya Ziwa, then piga ua galagaza the next PM ni lazima atoke Kanda ya Ziwa!. Kubali kataa!.
Sasa uchaguzi wa rais wa 2030 ndio fursa nyingine kwa opposition, kama ile fursa ya 2015 ambayo Chadema walikuwa nayo, but for being myopic na lack of focus, they missed the target.
Fursa ya 2030 kwa opposition, mimi niliizungumza toka February 2018 https://www.jamiiforums.com/threads...ga-karibu-wote-watakuwa-wamemalizika.1401652/ https://www.jamiiforums.com/threads...ga-karibu-wote-watakuwa-wamemalizika.1401652/ 12 years before.
The the opposition wetu, will they be ready to take up the challenge
Paskali.
Update
Mchango very objective
Mkuu Tindo , kwanza ni kweli sina jipya kwasababu in reality, there is nothing new under the sun!, hivyo jipya litoke wapi?. Nianzishe chama cha nini wakati Tanzania kwa chama kweli cha siasa ambacho ni chama as chama, tunacho kimoja tuu!, the one and only!, humu ndimo nilimo.
Mimi sio motivational speaker, mimi ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila ni kweli sina any achievement yoyote ya Kuonekanika ninayoweza kuonyesha, ila kalamu yangu ina ncha kali, baadhi ya maswali yangu, hoja zangu na maandishi yana waingia yawachoma na wana badilika ila watu hawaoni!, mimi ninayeandika na kushuhudia maandishi yangu yakileta mabadiliko chanya ni faraja tosha kwangu!. Kama utapata muda pitia hizi baadhi ya kauli umba zangu uone zilivyoleta matokeo chanya https://www.jamiiforums.com/threads...na-kauli-umba-ambazo-huumba-shuhudia.2013308/ ambayo japo hayaonekaniki kwa macho lakini matokeo yake yanaonekana.
Ushauri wangu huwa ni ushauri wa bure, mama ni mtu mjinga tuu anayeweza kufuata ushauri wangu, hii inamaansha ushauri wangu ni wa kijinga!, then, angalia ushauri wangu hapa niliishauri nini CCM na Chadema https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-imechokwa-chadema-haijajipanga.87532/ angalia nani alifuata ushauri wangu na akapata nini, na nani alipuuza na matokeo yake, sasa hapo nani mjinga?.
Hili la Lowassa naomba usinikumbushe litaniumiza kwasababu nili invest sana kwenye ushauri wa bure na matokeo nikuyakumbuka naumia mpaka kesho,
- Licha ya kumsupport Lowassa nilitoa angalizo hili https://www.jamiiforums.com/threads...e-rais-wetu-2015-rais-wetu-wa-2015-ni.800075/
- Mchakato wa CCM ulipoanza, nikapenyeshewa hii https://www.jamiiforums.com/threads/licha-ya-kukubalika-jina-la-lowassa-halitafika-hata-cc.827807/
- Na kweli Lowassa alichinjiwa baharini, baada ya kuchinjwa kwanza nilishauri https://www.jamiiforums.com/threads...ubali-matokeo-vunja-kambi-jisalimishe.883808/
- Kisha nikauliza https://www.jamiiforums.com/threads...-mwanzo-wa-safari-halisi-ya-matumaini.882751/ hivyo hapa ukisema niliwaingiza mkenge Chadema, hapa you would be right. I was very genuine when writing that ila it's very unfortunately Mungu aliisha panga.
- Baada ya uchaguzi nimewashauri https://www.jamiiforums.com/threads...tokeo-tushukuru-kwa-yote-life-goes-on.964000/
- Hivyo uamuzi wa Chadema kumchukua Lowassa was the best of the best kwa wakati huo Chadema had no one compared!. Hata 2025 Chadema has no one kushindana na mgombea wa CCM, hivyo rais wa 2025 ni mgombea wa CCM!.
Kuna baadhi ya ushauri mzuri nimewapa wapinzani, wakaufuata na ukawasaidia sana!.
Mfano
P
- Lissu ni mdogo wangu, nimemtangulia vidato pale Ilboru, ni mimi ndiye niliye mshauri Lissu agombee https://www.jamiiforums.com/threads...0-ameonyesha-uwezo-zaidi-ya-magufuli.1289828/ na labda hata zile pyu pyu ni ili kuzuia asigombee!.
- Akiwa ubelgiji Lissu aligoma kurudi bila kuhaikishiwa usalama wake na Siro, ni mimi tena niliye mshauri Lissu arudi https://www.jamiiforums.com/threads...aendelea-kukulinda-welcome-back-home.1712173/ lisu akapokea ushauri akakubali kurudi
- https://www.jamiiforums.com/threads...-njema-na-nchi-hii-mpeni-ushirikiano.1939827/ ushauri huu umefutwa wamewasilisha hoja mezani, wamesikilizwa sasa nao wanalamba asali!
- https://www.jamiiforums.com/threads...onde-msiandamane-mwenye-nguvu-mpishe.1088394/ Chadema walifuata ushauri huu na kuepusha shari
- https://www.jamiiforums.com/threads...nly-survival-do-or-die-msirudie-kosa.1813313/ Chadema imefuata ushauri huu
- https://www.jamiiforums.com/threads...ngukia-bali-angalia-pale-ulipojikwaa.1993155/ ushauri huu sasa unafatwa
- https://www.jamiiforums.com/threads...-19-ni-mashujaa-kuendelea-ubunge-wao.1815648/ Chadema wamekubali matokeo sasa wana survive
- https://www.jamiiforums.com/threads...tokeo-tushukuru-kwa-yote-life-goes-on.964000/ ushauri huu ulifuatwa
- https://www.jamiiforums.com/threads...-kuzira-je-si-tabia-za-kike-si-utoto.1011874/ ushauri huu unafuatwa sasa Chadema sio Chadema susa susa au Chadema zira zira, sasa ni Chadema kazi kazi huku kazi iendelee
- https://www.jamiiforums.com/threads/kuelekea-2015-chadema-kuchukua-nchi-kwa-kishindo-only-if.323057/ ilikuwa Chadema wachukue nchi, kwa kupuuza ushauri huu, Chadema inaendelea kupiga mark time!.
CCM sio chama cha siasa bali ni kundi la mafisadi wanaowatumia maskini wa kitanzania kuendelea kujinufaisha wao na familia zao. Bahati mbaya hata watu mnaojiita wasomi kama wewe huwezi kuona mbele zaidi ya tumbo lakoWanabodi,

Mkuu Gulwa , hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli jinsi ile ulivyo!, uwepo wa kitu ni ile existence in reality, kitu ambacho kipo na kina exist in reality kusema hakipo ni denial.CCM sio chama cha siasa bali ni kundi la mafisadi wanaowatumia maskini wa kitanzania kuendelea kujinufaisha wao na familia zao. Bahati mbaya hata watu mnaojiita wasomi kama wewe huwezi kuona mbele zaidi ya tumbo lako
Kwamba wasisimamishe mgombea urais mwaka 2025 au unalenga nini ?Naunga mkono hoja, kweli Chadema ni moto wa kuotea mbali, tatizo lake haijajipanga na haijipangi. https://www.jamiiforums.com/threads...angi-na-hamtajipanga-2015-ni-ccm-tena.624364/ Forget about 2025, the time is too little too late. The focus should be 2030.
Ushauri wa mlamba asali huyu sio wa kuufuata.Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets.
Moja ya matatizo makubwa ya siasa zetu ni ukosefu wa clear vision, na hii sio kwa opposition tuu pekee wa Tanzania, hata chama tawala na serikali yetu nayo sometimes inakosa vision ndio maana Tanzania kama nchi tunashindwa kuwa na clear vision na hivyo kushindwa kupanga vipaumbele vyetu. https://www.jamiiforums.com/threads...-aibu-na-hatari-kupikia-kuni-na-mkaa.1966529/
Hivyo tukija kwenye siasa zetu ndio kabisa!, besides siasa za figisu, sheria mbovu za uchaguzi, Tume isiyo Shirikishi ya Uchaguzi na ushindani usio sawa kwenye uwanja tenge, lack of focus ni tatizo kubwa zaidi kwenye siasa zetu kuliko matatizo hayo mengine yote.
Mikutano ya siasa imeruhusiwa, Samia atabadili sheria za uchaguzi, ataruhusu hadi wagombea binafsi, atarekebisha Tume ya Uchaguzi kwa kuunda Tume Huru na Shirikishi, ataleta katiba mpya, lakini bado ni CCM ndio itaendelea kushinda na kutawala Tanzania, kwa kipindi kirefu kijacho and probably milele.
Kwasababu bado hatuna any serious and credible opposition to checks out CCM!. Watu wanamatumaini sana na Chadema, lakini amini usiamini, Chadema kwa hivi ilivyo, ni hakuna kitu pale!, labda ibadilike, kule juu iingie mijitu bold kama Heche. https://www.jamiiforums.com/threads...us-credible-mature-enough-opposition.1249668/
Nimesema hatuna any serious and credible opposition kwasababu upinzani uliopo ni myopic, una short distance vision ya siasa za leo, hawana good vision ya kuona mbali kuwa wanataka nini kesho, wanakwenda wapi na watafikaje, hivyo kukosa a clear vision of its target, na kukosa clear focus hivyo kushindwa ku focus and eventually end up missing the target. https://www.jamiiforums.com/threads...he-target-adui-mkubwa-sio-ccm-bali-ni.310532/
Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili https://www.jamiiforums.com/threads...za-nchi-hii-ngumu-sana.2057792/#post-45011402 toka kwa hoja ya mwana JF huyu
Naunga mkono hoja, kweli Chadema ni moto wa kuotea mbali, tatizo lake haijajipanga na haijipangi. https://www.jamiiforums.com/threads...angi-na-hamtajipanga-2015-ni-ccm-tena.624364/ , hivyo kwenye urais, Chadema na the opposition, forget about 2025, the time is too little too late. Rais wa 2025 ni kutoka CCM, hivyo nashauri focus ya opposition kwenye urais, should be 2030.
Politics is a science of politics, political science, therefore it follows scientific theories and proofs, hivyo kwa political dynamics ya siasa zetu, kwa sasa hapa tulipo hadi 2025, bado hatuna chama chochote kingine cha siasa cha kuitikisha CCM kwenye urais.
Kwa vile uchaguzi Mkuu mwingine ni 2025, baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, naona vyama uchwala vinakurupuka kwa mikutano ya hadhara to focus on uchaguzi wa 2025 only, that is lack of clear focus na clear vision, hivyo they are myopic.
2025 is a bit too close, too near, hivyo vyama vina too little time too late to do a worthwhile thing!. The focus kwenye urais should be 2030!. 2025 they should focus on ubunge only.
Nimeona Chadema wanakwenda kuanzia Kanda ya Ziwa, hii ni Kanda determinant ya nani anakuwa rais wa Tanzania, hivyo chaguo la JPM kuwa mgombea wa CCM ile 2015 was not bahati nasibu na wala sio JPM aliingia kwa ku beep!. It was a premeditated move na ni mimi niliisema humu ile 2014.
Kwa vile JPM alitoka Kanda ya Ziwa, then PM kutoka pengine popote was possible, lakini kwa 2025, kwa vile rais sio kutokea Kanda determinant ya Ziwa, then piga ua galagaza the next PM ni lazima atoke Kanda ya Ziwa!. Kubali kataa!.
Sasa uchaguzi wa rais wa 2030 ndio fursa nyingine kwa opposition, kama ile fursa ya 2015 ambayo Chadema walikuwa nayo, but for being myopic na lack of focus, they missed the target.
Fursa ya 2030 kwa opposition, mimi niliizungumza toka February 2018 https://www.jamiiforums.com/threads...ga-karibu-wote-watakuwa-wamemalizika.1401652/ https://www.jamiiforums.com/threads...ga-karibu-wote-watakuwa-wamemalizika.1401652/ 12 years before.
The the opposition wetu, will they be ready to take up the challenge
Paskali.
Update
Mchango very objective
Mkuu Tindo , kwanza ni kweli sina jipya kwasababu in reality, there is nothing new under the sun!, hivyo jipya litoke wapi?. Nianzishe chama cha nini wakati Tanzania kwa chama kweli cha siasa ambacho ni chama as chama, tunacho kimoja tuu!, the one and only!, humu ndimo nilimo.
Mimi sio motivational speaker, mimi ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila ni kweli sina any achievement yoyote ya Kuonekanika ninayoweza kuonyesha, ila kalamu yangu ina ncha kali, baadhi ya maswali yangu, hoja zangu na maandishi yana waingia yawachoma na wana badilika ila watu hawaoni!, mimi ninayeandika na kushuhudia maandishi yangu yakileta mabadiliko chanya ni faraja tosha kwangu!. Kama utapata muda pitia hizi baadhi ya kauli umba zangu uone zilivyoleta matokeo chanya https://www.jamiiforums.com/threads...na-kauli-umba-ambazo-huumba-shuhudia.2013308/ ambayo japo hayaonekaniki kwa macho lakini matokeo yake yanaonekana.
Ushauri wangu huwa ni ushauri wa bure, mama ni mtu mjinga tuu anayeweza kufuata ushauri wangu, hii inamaansha ushauri wangu ni wa kijinga!, then, angalia ushauri wangu hapa niliishauri nini CCM na Chadema https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-imechokwa-chadema-haijajipanga.87532/ angalia nani alifuata ushauri wangu na akapata nini, na nani alipuuza na matokeo yake, sasa hapo nani mjinga?.
Hili la Lowassa naomba usinikumbushe litaniumiza kwasababu nili invest sana kwenye ushauri wa bure na matokeo nikuyakumbuka naumia mpaka kesho,
- Licha ya kumsupport Lowassa nilitoa angalizo hili https://www.jamiiforums.com/threads...e-rais-wetu-2015-rais-wetu-wa-2015-ni.800075/
- Mchakato wa CCM ulipoanza, nikapenyeshewa hii https://www.jamiiforums.com/threads/licha-ya-kukubalika-jina-la-lowassa-halitafika-hata-cc.827807/
- Na kweli Lowassa alichinjiwa baharini, baada ya kuchinjwa kwanza nilishauri https://www.jamiiforums.com/threads...ubali-matokeo-vunja-kambi-jisalimishe.883808/
- Kisha nikauliza https://www.jamiiforums.com/threads...-mwanzo-wa-safari-halisi-ya-matumaini.882751/ hivyo hapa ukisema niliwaingiza mkenge Chadema, hapa you would be right. I was very genuine when writing that ila it's very unfortunately Mungu aliisha panga.
- Baada ya uchaguzi nimewashauri https://www.jamiiforums.com/threads...tokeo-tushukuru-kwa-yote-life-goes-on.964000/
- Hivyo uamuzi wa Chadema kumchukua Lowassa was the best of the best kwa wakati huo Chadema had no one compared!. Hata 2025 Chadema has no one kushindana na mgombea wa CCM, hivyo rais wa 2025 ni mgombea wa CCM!.
Kuna baadhi ya ushauri mzuri nimewapa wapinzani, wakaufuata na ukawasaidia sana!.
Mfano
P
- Lissu ni mdogo wangu, nimemtangulia vidato pale Ilboru, ni mimi ndiye niliye mshauri Lissu agombee https://www.jamiiforums.com/threads...0-ameonyesha-uwezo-zaidi-ya-magufuli.1289828/ na labda hata zile pyu pyu ni ili kuzuia asigombee!.
- Akiwa ubelgiji Lissu aligoma kurudi bila kuhaikishiwa usalama wake na Siro, ni mimi tena niliye mshauri Lissu arudi https://www.jamiiforums.com/threads...aendelea-kukulinda-welcome-back-home.1712173/ lisu akapokea ushauri akakubali kurudi
- https://www.jamiiforums.com/threads...-njema-na-nchi-hii-mpeni-ushirikiano.1939827/ ushauri huu umefutwa wamewasilisha hoja mezani, wamesikilizwa sasa nao wanalamba asali!
- https://www.jamiiforums.com/threads...onde-msiandamane-mwenye-nguvu-mpishe.1088394/ Chadema walifuata ushauri huu na kuepusha shari
- https://www.jamiiforums.com/threads...nly-survival-do-or-die-msirudie-kosa.1813313/ Chadema imefuata ushauri huu
- https://www.jamiiforums.com/threads...ngukia-bali-angalia-pale-ulipojikwaa.1993155/ ushauri huu sasa unafatwa
- https://www.jamiiforums.com/threads...-19-ni-mashujaa-kuendelea-ubunge-wao.1815648/ Chadema wamekubali matokeo sasa wana survive
- https://www.jamiiforums.com/threads...tokeo-tushukuru-kwa-yote-life-goes-on.964000/ ushauri huu ulifuatwa
- https://www.jamiiforums.com/threads...-kuzira-je-si-tabia-za-kike-si-utoto.1011874/ ushauri huu unafuatwa sasa Chadema sio Chadema susa susa au Chadema zira zira, sasa ni Chadema kazi kazi huku kazi iendelee
- https://www.jamiiforums.com/threads/kuelekea-2015-chadema-kuchukua-nchi-kwa-kishindo-only-if.323057/ ilikuwa Chadema wachukue nchi, kwa kupuuza ushauri huu, Chadema inaendelea kupiga mark time!.
Overconfidence....Mikutano ya siasa imeruhusiwa, Samia atabadili sheria za uchaguzi, ataruhusu hadi wagombea binafsi, atarekebisha Tume ya Uchaguzi kwa kuunda Tume Huru na Shirikishi, ataleta katiba mpya, lakini bado ni CCM ndio itaendelea kushinda na kutawala Tanzania, kwa kipindi kirefu kijacho and probably milele.
Umetoa Siri au umeamua kuisaidia Cdm ?Kuna kosa nimeisha linote, hii ya kudhani 2025 goli liko wazi kwa sababu unadhani kipa ni demu, hivyo ukipiga mashuti makali, badala ya kubana, ataacha na atapanua na nyie kuingiza kiulaini!. 2025 you will be surprised!. Kipa wa 2025 sio demu!.
P
Jamaa anadhani kipa ni demu hivyo akipiga mashuti makali atapanua hivyo wao wapige mabao kama goli liko wazi kabisa!.Umetoa Siri au umeamua kuisaidia Cdm ?
Naunga mkono hoja.ukiwa na nia lolote linaweza kutokea 2025 ni mbali sana .Mayalla ni muumini wa nature na kawaida ya nature hutokea muda wowote tu.kwahiyo in between hapa kuelekea 2025 chochote kinaweza kutokea nani alijua Magufuli asingemaliza kipindi chake.hata hivyo sio vibaya kuzingatia ushauri wake maana ushauri wa bure haukataliwi.Nimecheka kwa nguvu, eti uliwahauri CDM kumchukua Lowassa. Unachofanya ww ni sawa na wafanyacho wanafunzi kwenye maswali ya multiple choice. Unakuta mtu hatujui jibu, ila ananyanyua kalamu juu na kushusha kwenye jibu, hapo kalamu itakapotua anafanya ndio jibu. Akipatia jibu anajifanya anajua.
Unachoongea ni kubashiri, ndio maana unaweka mabandiko mengi tofauti tofauti, ikitokea bandiko lako moja likashabihiana na litakalotokea, unasema uliwahi kusema! Huu uhuni upo pia kwenye ilani ya CCM, wameweka list ya mahitaji yote ya wananchi. Ikitokea wakatekeleza chochote katika hiyo list, wanasema wanatekeleza ilani yao.
Halafu kwa kukusaidia tu, ujue kuanzia leo, CCM sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Hivyo wakati unakisifia ili kikutoe kimaisha, usiwe mbali na ukweli huu.
Endelea kulala usingizi mkuu ...tutakuamsha kipindi Cha kampeni 2025 ...Hivi nani kawambia 2025 Pana Uchaguzi?
Nani ana HAKIKA Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA itakamilika b4 2025?
Nani ana HAKIKA SHERIA za uchaguzi zinaweza badilishwa kuruhusu matokeo ya Urais kuhojiwa mahakamani?
Nani ana HAKIKA utafanyika uchaguzi ikiwa CHADEMA na vyama kinzani vitaungana na kugomea Uchaguzi Kwa kutobadilika SHERIA kandamizi za uchaguzi na kupata uungwaji mkono Kutoka wananchi na mataifa ya magharibi?
Tufikiri pia nje ya Box, huu ni msimu mpya na majira mapya 2023.
Bro! Acha ujinga,acha demokrasia itamalakiWanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets.
Moja ya matatizo makubwa ya siasa zetu ni ukosefu wa clear vision, na hii sio kwa opposition tuu pekee wa Tanzania, hata chama tawala na serikali yetu nayo sometimes inakosa vision ndio maana Tanzania kama nchi tunashindwa kuwa na clear vision na hivyo kushindwa kupanga vipaumbele vyetu. https://www.jamiiforums.com/threads...-aibu-na-hatari-kupikia-kuni-na-mkaa.1966529/
Hivyo tukija kwenye siasa zetu ndio kabisa!, besides siasa za figisu, sheria mbovu za uchaguzi, Tume isiyo Shirikishi ya Uchaguzi na ushindani usio sawa kwenye uwanja tenge, lack of focus ni tatizo kubwa zaidi kwenye siasa zetu kuliko matatizo hayo mengine yote.
Mikutano ya siasa imeruhusiwa, Samia atabadili sheria za uchaguzi, ataruhusu hadi wagombea binafsi, atarekebisha Tume ya Uchaguzi kwa kuunda Tume Huru na Shirikishi, ataleta katiba mpya, lakini bado ni CCM ndio itaendelea kushinda na kutawala Tanzania, kwa kipindi kirefu kijacho and probably milele.
Kwasababu bado hatuna any serious and credible opposition to checks out CCM!. Watu wanamatumaini sana na Chadema, lakini amini usiamini, Chadema kwa hivi ilivyo, ni hakuna kitu pale!, labda ibadilike, kule juu iingie mijitu bold kama Heche. https://www.jamiiforums.com/threads...us-credible-mature-enough-opposition.1249668/
Nimesema hatuna any serious and credible opposition kwasababu upinzani uliopo ni myopic, una short distance vision ya siasa za leo, hawana good vision ya kuona mbali kuwa wanataka nini kesho, wanakwenda wapi na watafikaje, hivyo kukosa a clear vision of its target, na kukosa clear focus hivyo kushindwa ku focus and eventually end up missing the target. https://www.jamiiforums.com/threads...he-target-adui-mkubwa-sio-ccm-bali-ni.310532/
Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili https://www.jamiiforums.com/threads...za-nchi-hii-ngumu-sana.2057792/#post-45011402 toka kwa hoja ya mwana JF huyu
Naunga mkono hoja, kweli Chadema ni moto wa kuotea mbali, tatizo lake haijajipanga na haijipangi. https://www.jamiiforums.com/threads...angi-na-hamtajipanga-2015-ni-ccm-tena.624364/ , hivyo kwenye urais, Chadema na the opposition, forget about 2025, the time is too little too late. Rais wa 2025 ni kutoka CCM, hivyo nashauri focus ya opposition kwenye urais, should be 2030.
Politics is a science of politics, political science, therefore it follows scientific theories and proofs, hivyo kwa political dynamics ya siasa zetu, kwa sasa hapa tulipo hadi 2025, bado hatuna chama chochote kingine cha siasa cha kuitikisha CCM kwenye urais.
Kwa vile uchaguzi Mkuu mwingine ni 2025, baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, naona vyama uchwala vinakurupuka kwa mikutano ya hadhara to focus on uchaguzi wa 2025 only, that is lack of clear focus na clear vision, hivyo they are myopic.
2025 is a bit too close, too near, hivyo vyama vina too little time too late to do a worthwhile thing!. The focus kwenye urais should be 2030!. 2025 they should focus on ubunge zaidi, simaanishi wasisimamishe mgombea urais, wasimamishe mgombea urais kwa lengo la kuvuna kura za viti maalum, lakini sio ushindi wa urais!. Rais wa 2025 ni kutoka CCM only.
Nimeona Chadema wanakwenda kuanzia Kanda ya Ziwa, hii ni Kanda determinant ya nani anakuwa rais wa Tanzania, hivyo chaguo la JPM kuwa mgombea wa CCM ile 2015 was not bahati nasibu na wala sio JPM aliingia kwa ku beep!. It was a premeditated move na ni mimi niliisema humu ile 2014.
Kwa vile JPM alitoka Kanda ya Ziwa, then PM kutoka pengine popote was possible, lakini kwa 2025, kwa vile rais sio kutokea Kanda determinant ya Ziwa, then piga ua galagaza the next PM ni lazima atoke Kanda ya Ziwa!. Kubali kataa!.
Sasa uchaguzi wa rais wa 2030 ndio fursa nyingine kwa opposition, kama ile fursa ya 2015 ambayo Chadema walikuwa nayo, but for being myopic na lack of focus, they missed the target.
Fursa ya 2030 kwa opposition, mimi niliizungumza toka February 2018 https://www.jamiiforums.com/threads...ga-karibu-wote-watakuwa-wamemalizika.1401652/ https://www.jamiiforums.com/threads...ga-karibu-wote-watakuwa-wamemalizika.1401652/ 12 years before.
The the opposition wetu, will they be ready to take up the challenge
Paskali.
Update
Mchango very objective
Mkuu Tindo , kwanza ni kweli sina jipya kwasababu in reality, there is nothing new under the sun!, hivyo jipya litoke wapi?. Nianzishe chama cha nini wakati Tanzania kwa chama kweli cha siasa ambacho ni chama as chama, tunacho kimoja tuu!, the one and only!, humu ndimo nilimo.
Mimi sio motivational speaker, mimi ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila ni kweli sina any achievement yoyote ya Kuonekanika ninayoweza kuonyesha, ila kalamu yangu ina ncha kali, baadhi ya maswali yangu, hoja zangu na maandishi yana waingia yawachoma na wana badilika ila watu hawaoni!, mimi ninayeandika na kushuhudia maandishi yangu yakileta mabadiliko chanya ni faraja tosha kwangu!. Kama utapata muda pitia hizi baadhi ya kauli umba zangu uone zilivyoleta matokeo chanya https://www.jamiiforums.com/threads...na-kauli-umba-ambazo-huumba-shuhudia.2013308/ ambayo japo hayaonekaniki kwa macho lakini matokeo yake yanaonekana.
Ushauri wangu huwa ni ushauri wa bure, unamaanisha ni mtu mjinga tuu anayeweza kufuata ushauri wangu, hii inamaansha ushauri wangu ni wa kijinga!, then, angalia ushauri wangu hapa niliishauri nini CCM na Chadema https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-imechokwa-chadema-haijajipanga.87532/ angalia nani alifuata ushauri wangu na akapata nini, na nani alipuuza na matokeo yake, sasa hapo nani mjinga?.