Pre GE2025 Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wasipochukua 2025 hawana nafasi nyingine kabisa. CCM hawana kipa anaeuzika hata aliyopo bora liende.
Ni wao tu wapinzani goli lipo wazi wafunge au wabutue.
Kwa mfumo uliopo upinzani wanashindaje uchaguzi? tuache kuwaonea upinzani. Yaani kwa tume hii ya uchaguzi, kwa katiba hii, kwa uingiliaji wa dola kwenye chaguzi, kuchafua daftali la wapiga kura, kuingiza kura mapema kabla ya muda wa kupiga kura, kuzuia mawakala wa vyama vingine. Upinzani wanashindaje. Namshangaa hata wakili msomi Paskali anavyoleta hoja yake hapa.
 
Upinzani ulisitawi sana katika, utawala wa j.m.kikwete, na tutaukumbuka sana, ulikua utawala, uliojali demokrasia sana, uhuru, wa kujieleza, pia ulikua uhuru mkubwa sana, sio siku hizi, kesho unatekwa, na kupotezwa, nakukumbuka sana jk.
 
Ushauri wa bandiko hili umebadilika, iwapo Lissu atachukua uenyekiti wa Chadema, then, akagombea urais, then upinzani una chances ya urais uchaguzi wa 2025.

Ushauri kwa Mbowe, Jumamosi atundike daluga, ampishe Lissu, 2025 Lissu anamsukumia mtu pembeni kama kumsukuma mlevi, yaani anakwenda kuchukua kama vile ameokota dodo chini ya mwembe!.
P.
 
Ahaaaa sawa
 
naunga mkono hoja kama nilivyo shauri。
P
 
Ndiyo mbadilishe mambo kadhaa wa kadhaa muone
Sasa nyie uchaguzi marefa nyie,linesman nyie,ulinzi nyie
Kunakutoboa hapo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…