Kama upo Arusha njoo tutumie pesa... Usiwe unasimuliwa tu jinsi watu wanavyotumia pesa.

Ruka sarakasi zote ila saa nane usiku ikukute kaunta ya Picnic Bar utawakuta non-jf users wengi sana wenye upendo wa ajabu na hawatakuangusha kwelikweli.
 
Ni mahindi na maharage yanachemshwa Kama makande, tofauti haya hayaungwi unayasonga na kuweka chumvi tu. Yanakuwa makavu. Just Imagine[emoji849].
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] kwa nn usiyaunge kama makande au ndio yanatakiwa kuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…