Kama upo Arusha njoo tutumie pesa... Usiwe unasimuliwa tu jinsi watu wanavyotumia pesa.

Mkuu unachagua gari ya mwaka gani?Nahisi kuna hatari ya mtu kutapeliwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji124][emoji124][emoji124]
mbona nakuona hapa kwenye msosi kwa mama hamisi unambembeleza akuongezee dagaaa? niko pembeni yako nimeona id kwenye simu jf
 
Design tongoza ya madomo zege!!
 
Shee hii mutu nataka fanya nini erooo??Hapana mimi lengeta sarau ero ntaua mutu haki ya mama.!!
 
hahaaaaaa usiombee uvute bangi ukiwa na njaaa., stress mbaya sana, huyu jamaa yupo ushirombo analima makebich na yamekufa yote kwa mvua, na hapo alipo kapiga ndefuu.......you can imagine how desperate he is........

You made my day
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimejikuta nacheka mwanzo mwisho,haki sifa hizi
 
teh teh teeth demis angekuwa arusha jaman amsaidie kutumia
Hahahhaha kiukweli napenda kusoma post zako nimekuwa shabiki wako

Wa arusha mkuje huku mnaitwa na pedeshee kiduku lilo mtu na pesa zake

kapeace mama ebu pita huku hivi haupo arusha eenh
 
Ha haa! Masikini wana ndoto nyingii!
Dah! Ukute mtoa mada hajala mchana. Kaenda kulala kitandani huku anapiga miayo, baada ya kushtuka ndio anaona bora aandike hapa vile ana wish angekuwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…