Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Uendeje kwa mfanoKwa hiyo umeniruhusu niende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uendeje kwa mfanoKwa hiyo umeniruhusu niende
Si ndio nimeshangaa eti unaniambia haya nendaUendeje kwa mfano
Usiombe ule makukuru ukiwa huna hela 😀😀Kiboko hio
Kwetu ni ndizi na marage, twaisonga kama keki twaita "Kishumba" ni hatari faya hio kituUsiombe ule makukuru ukiwa huna hela 😀😀
mbona nakuona hapa kwenye msosi kwa mama hamisi unambembeleza akuongezee dagaaa? niko pembeni yako nimeona id kwenye simu jf
Design tongoza ya madomo zege!!Nmemaliza meeting ya Kimataifa hapa Arusha... Wenzangu wameenda Serengeti na Ngorongoro... Mimi nilikuwa huko miezi michache iliyopita nikiwa na RR. Yaan Range Rover.
Sijaona haja ya kwenda nmeona nipoe tu hapa Impala Hotel maana ndo nmepazoea ingawa si Hotel kubwa kama za Dubai, Switz,Usa au Ufaransa.
Nataka nifike pale wanapopika chakula cha Ethiopia. Then nadhan kidogo niingie mtaani maana Arusha siifahamu kabisa.
Nahitaji kuonana na watu wawili watatu smart wa Jf. Mmoja wa kiume na wawili wakike.tuweze badilishana mawazo kidogo nami nijifunze maisha flani ya watu wengine. Pia wanizungushe viwanja mbalimbali hasa vya watu wa daraja la kati.
Maana ukinipeleja Ngurdoto sijui wapi...utakuwa hujanifirahisha maana huko hamna jipya wananifaham mpaka wahudumu.so nataka mwenyeji wa arusha pia nipate na mdada naye anipe experience yake.so tutakuwa watu wanne.
Sijaja na Gari tulitumia Flight.so options ni mimi kuhire, tutumie Uber au kama una gari nzuri hizi za Ulaya kuanzia mwaka 2016-2019 iwe haijawahi gongwa, mpya kabisa. Nitaweka mafuta ya tsh100,000.kuanzia saa 11 mpaka zaa 5 usiku.
So mtu anifuate inbox tuyajenge kumbuka ninapenda kumfaham mtu wa kuonana naye before
Jamaa wewe utakua mhaya kabisa we ni regemarila na koku
Hata huku kwetu ipo, tunaita kiburu I thinkKwetu ni ndizi na marage, twaisonga kama keki twaita "Kishumba" ni hatari faya hio kitu
hahah kumbe mtoto wa mangi wwHata huku kwetu ipo, tunaita kiburu I think
Yeahhahah kumbe mtoto wa mangi ww
hahaaaaaa usiombee uvute bangi ukiwa na njaaa., stress mbaya sana, huyu jamaa yupo ushirombo analima makebich na yamekufa yote kwa mvua, na hapo alipo kapiga ndefuu.......you can imagine how desperate he is........
wewe mtoto mbona umekazana hivyo kumuita handsomeThanks handsome [emoji847] and you too [emoji8]