colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Nakwambia! [emoji2][emoji2][emoji2]yuko serious kama kweli vileHata mm napendaga post zake..yupo serious hahaaa..had raha[emoji23][emoji23]..ashukuru siko Arusha
Hahahhaha kiukweli napenda kusoma post zako nimekuwa shabiki wako
Wa arusha mkuje huku mnaitwa na pedeshee kiduku lilo mtu na pesa zake
kapeace mama ebu pita huku hivi haupo arusha eenh
Usiombe ule makukuru ukiwa huna hela ππ
We ulikuwa wapi kunitag? πUlikuwa wapi mpaka ukakupita
PoleNlikuwa nmekula ban
Jamaa wewe utakua mhaya kabisa we ni regemarila na koku